habari zenyu vandugu JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

habari zenyu vandugu JF

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Mbimbinho, Aug 18, 2009.

 1. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2009
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  habari zenyu wajameni,
  Nafurahi kuwa mmoja wa hii saiti, navashukuru member vote kwani kupitia kwenyu niliweza kuriwasika pale nilipokua katika wakati mgumu, kwani mmoja va rafiki zangu alikuwa ananipa habari ambazo zilinifanya nisahau sida zangu kwa muda mfupi, baadaye nilipomuuliza anazitoa wapi maana alikuwa haisiwi kabsaa, ndo akanialet hapa. hivo, nimeona niwe mwanajumuiya kabsaa.
  Nasukuru vajameni, nafikiri nitakuwa mwanachama wa kwanza toka katika kijiji chetu cha Fyengereza wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa.
  Asanteni vandugu.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,462
  Likes Received: 19,838
  Trophy Points: 280
  karibu ila Pinda alishaingia humu zamani
   
 3. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Walishafika humu tangia kaka hajawa waziri mkuu...Kodabosi karibu mkuu...ila ungekuja nyumbani kutaka account name ningekushauri uongeze herufi moja , n, katikati ya herufi o na d...karibu sana ndugu!
   
 4. l

  libidozy Member

  #4
  Aug 18, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha kutuongopea wewe ni ********* umetumwa na akina fulani kuchukua umbea huku.Tunakukaribisha ila elewa hapa pamejaa watu wa rika na upeo tofauti,ukijigonga tuu umeumia.Karibu sana.
   
Loading...