Recent content by leseiyo

  1. leseiyo

    Andrew Chenge: Kwangu gamba limeishia kiunoni tu

    ".........kwangu Gamba limeishia kiunoni kuliondoa hapa lilipo inabidi uje na Shoka"-Source Mwanahalisi la Leo kwenye Story ya JK KIGEUGEU
  2. leseiyo

    Ajira za kila siku african barrick gold zinatufundisha nini??

    Mara nyingi matangazo kwenye media ni njia ya kuvifunga midomo vyombo vya habari.Makampuni au serikali nyingi zenye maovu hutumia matangazo kama nyenzo ya kuficha uozo.So Barrick wanaweza wakawa wanatumia njia hiyo.Though tunahitaji kujiridhisha katika hili.
  3. leseiyo

    TASNIA YA FILAMU: Tuhuma za Steps kuwagawa wasanii na utetezi dhaifu!

    Kinacholeta ukakasi zaidi ni kwamba,kwa sasa kuna Shirikisho la Filamu linalounganisha wasanii wote na kutambuliwa kisheria lakini hawa supastaaz wamejitenga na kuanzisha kitu kinachoitwa Bongo Movie Club na kinadhaminiwa na Steps haohao.Ni ujinga walionao wasanii wetu.Wanakubali kugawanywa na...
  4. leseiyo

    Alama ya Nyoka na Fimbo kwenye Noti ya Shilingi mia tano kulikoni?

    Ni upuuzi tu huu.How come nyoka awakilishe tiba?Ni nani hasa anayehusika na kubuni vitu vya kukaa kwenye noti zetu?Kwa nini jukumu hilo lichukuliwe kama la watu fulani tu wanaoamua kila kitu?Machapisho ya noti mpya ni suala la kitaifa ndiyo maana hata bendera tunajua uwakilishi wa rangi...
  5. leseiyo

    Shitambala wa Chadema Mbeya ahamia CCM - Chadema kuchukua hatua za kisheria

    Shitambala hana jipya,amegombea Ubunge three times Mbeya Mjini na awamu zote amaekuwa akiuza nafasi hiyo kwa CCM.Amekuwa akipkea mamilioni kutoka CCM ili kukisalititi CDM.Kwa ujumla hakuna hasara ya kumkosa huyo mamluki hapa Mbeya.Moto umewaka na katu hauzimwi na maluweluwe haya ya...
  6. leseiyo

    Mrisho Gambo aongea na wanahabari

    Kinachokera wanakwaruzana na kutukanana hovyo lakini bado wako humohumo ndani ya dubwasha lao lililooza. Vijana kama hawa hawakutakiwa kuwa humo. Inakera na kuudhi.
  7. leseiyo

    kwanini redio za kiswahil za njei zote zipo kenya?

    Hapa Bongo ilikuwa Idhaa ya Kiswahili ya Uingereza (BBC) iwe na makao yake makuu hapa ktk ukanda wa EA lakini serikali ikaktaa kwa kile kilichoelezwa kwamba ingemulikwa sana na uozo wake kuwekwa hadharani.
  8. leseiyo

    20% na Kili Awards

    Huyu dogo nyimbo zake huwa hazipigwi Clouds FM jamaa wanambania kwa kuwa hayuko chini yao lakini Mungu kamuona na kazi zake ziko juu sana hata umbanie vipi kitaa atapendwa na atashine
  9. leseiyo

    Uzalendo: Shigongo na tamasha la uzalendo linalopingana na uzalendo

    Vilevile si la kizalendo kwa sababu anatumia wasanii ambao wana njaa na kesho wanatakiwa wawe kwenye tunzo za muziki za Taifa
  10. leseiyo

    Ni Programme gani inatumika kudesign wall Calendar A2

    Tafadhali kama kuna mtu anayefahamu program inayotumika kudesign Wall Calendars Size A2.Naomba anisaidie.
  11. leseiyo

    Simba SC na Mtibwa

    Final scores,Simba 4- 1 Mtibwa
  12. leseiyo

    anaelijua hili kuhusu clouds fm !!!!!!!!

    Anayetajwa sana kuua muziki ni jamaa mmoja anaitwa Ruge Mutahaba ambaye ni Meneja wa Kituo hicho.Amekuwa akiandaa matamasha mengi na kuwalipa wasanii fedha za kpuuzi na wanapokataa nyimbo zao zinatupwa kapuni.Aidha,ameanzisha makampuni uchwara mengi ambayo yameteka tasnia nzima ya Bongo Flava...
  13. leseiyo

    Shibuda ashangiliwa na wabunge wa CCM

    Shibuda afukuzwe chamani haraka sana iwezekanavyo.Kwa jinsi alivyochangia bungeni nitashangaa kama ataendelea kuwepo.Bado ni mwana CCM hai ila alikuja CDM kuvuruga tu.Shibuda must Go,Aoneshwe mlango haraka sana,hatufai katika mapambano ya ukombozi wa nchi yetu
  14. leseiyo

    Naliona anguko la Kibanda

    Nilipoona hiyo habari kwenye hilo Gazeti niliona kinyaa sana.Yaani Tz Daima linashindwa kuandika habari kuhusu ripoti ya uchaguzi ya EU kwa kuipa uzito badala yake wahariri wake wanaona kutishiwa kwa mlinzi wa Rostam ni habari.Kwa kweli siamini kama Ngurumo yuko kwenye media hii vinginevyo kuna...
Back
Top Bottom