Ajira za kila siku african barrick gold zinatufundisha nini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajira za kila siku african barrick gold zinatufundisha nini??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jun 3, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,250
  Likes Received: 5,632
  Trophy Points: 280
  Pengine ni msomaji wa magazeti ya ila siku kama mimi
  nimewiwa kuuliza hili maana najua kuna wengine wanamaliza vyuo na ajira zimekuwa tabu sana...pengine napenda kuwapongeza hawa jamaa kwa kutangaza kila siku ajira zao kwenye magazeti lakini imekuwa muda mrefu sana kila nikifungua magazeti nakuta ajira za african barrick gold

  nimejiuliza hao waliopo wanakwenda wapi iwapo kila siku ajira zinatangazwa kwenye hii kampuni na kama wapo iweje wanarudia rusia kila siku kutangaza post hizo hizo...zaidi ya miezi 4 je wanaohitajka awajapatikana ama weakipatikana wanaondoka ama kuondolewa

  hii ni changamoto kwa unaeona matangazo haya ujaribu kupata uhakika wa matangazo haya na kwa nini wana ajiri kila siku

  nimeajribu kumuuliza ndugu yangu mkurugenzi wao naona ameshindwa kunjibu basi si mbaya mwenye kufirkiria kuajiriwa na hii kampuni ukauliza kulikoni usije poteza hela yako kwenda mwanza ukatimuliwa baad aya wiki

  nawatakia asbh njema
   
 2. leseiyo

  leseiyo Senior Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 25, 2007
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mara nyingi matangazo kwenye media ni njia ya kuvifunga midomo vyombo vya habari.Makampuni au serikali nyingi zenye maovu hutumia matangazo kama nyenzo ya kuficha uozo.So Barrick wanaweza wakawa wanatumia njia hiyo.Though tunahitaji kujiridhisha katika hili.
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Dah!!! Mimi mwenyewe nimeona kila wiki lazima ukute kuna post ya kazi kutoka Barrick tena sio moja au mbili sasa sijui ni kwamba kampuni inazidi kukua zaidi na inahitaji wafanya kazi zaidi sielewi hapo
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Umenifungua macho mkuu...sasa nitaanza kuhesabu.
   
 5. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Katika migodi yote kufukuzwa kazi ni jambo la kawaida. Lakin pia kuna wanaoacha kazi kwa sababu mbalimbali ikiwamo manyanyaso ya mabosi. Pia kwa wale ambao wanapata ajira kwa mara ya kwanza hasa fresh graduate, wengi wakishapata experience ya mwaka mmoja au miwili wanatafuta kazi sehemu nyingine na wengine wanaenda serikalini.
   
 6. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kabisa mimi ni msomaji sana wa gazeti la mwananchi na mara kwa mara huwa naona matangazo na pia nimeshajiuliza kulikoni.

  Nahisi ni danganya toto
   
 7. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Staff turnover ni kubwa mno kwenye migodi ya Barrick sabubu mojawapo ni mishahara midogo sana sana kwa wazalendo ukilinganisha na wageni na pia manyanyaso ni mengi sana toka kwa wageni(wazungu) ambao ndio wako kwenye utawala.
   
 8. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Mara nyingi hawa jamaa wanatoa kazi na ukiomba kweli unaenda unapiga interview, Mfano mimi nilishawahi kupiga interview mara 3! ya kwanza bila bila, ya pili bila bila pia ya tatu nikapata. Lakini nikawapiga chini baada ya kupata dau zuri zaidi yao. Motivation yangu kwenda huko ilikuwa ni kupanda pipa au unaenda kwa nauli yako, ukifika huko unarudishiwa nauli yako hata kama utakosa kazi lakini sikuwa napoteza sana zaidi ya muda.
  Mdao hapo ameongea point, jamaa wanafukuza kazi, harafu pia mtu ukishapata uzoefu huyooo unatafuta sehemu unafurahia kufanya kazi na maisha mengine yanakuwa yanaenda kama kawa basi unatimka.
   
 9. p

  pointers JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Now na mimi nimestuka kuna jamabo hapa linalohitaji uchunguzi wa kina ili kujua ni nini kinaendelea?
   
 10. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  ukisha pata jiwe la dhahabu unasubiri nini mgodini?unasepa.jamaa hulipa kila page sh laki 9 za matangazo ya ajira zao!mazingira ya ajira zao ni mabovu
   
 11. m

  mbuyula JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2014
  Joined: Feb 2, 2014
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nikweli kabisa Staff turnover ni kubwa mno kwenye migodi ya Barrick.lakini inasaidia sana kwa kupata experience maana makampuni mengine watu hawabanduki, taabu inakuja kwa magraduate kwa kupata experience
   
Loading...