anaelijua hili kuhusu clouds fm !!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

anaelijua hili kuhusu clouds fm !!!!!!!!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by EL MAGNIFICAL, Feb 16, 2011.

 1. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwanza natanguliza samahani zangu za dhati kama post kama hii ishawahi tolewa !

  mada yangu :- hivi jamani nimekua nikisikia mara nyingi kuwa clouds fm ni radio station ambayo inauwa mziki wa Tanzania !
  anaejua anieleze kvp hii radio inahusishwa na lawama hizi !
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,978
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  Mwanamziki inabidi atoe Rushwa ndo muziki wake upigwe,kama utoi pesa basi cd zako zitakuwa zinakula vumbi awazipigi.Pia matamasha wanayoyaandaa lazima ukubaliane na pesa wanayokupa na sio vinginevyo kama vile FIESTA ata kama wanaweza kukulipa million 3 au zaidi,wakisema unapewa laki 2 ukubali vinginevyo wanakudelete na awazipigi tena nyimbo zako.mfano Afande Selle,Mr 2 nyimbo zao ni haramu apo mawingu FM
   
 3. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Ebu fafanua kidogo basi nani amesema , kivipi inaua?

  Ina maana kila utaka chosia wewe utakileta hapa JF. Jibu ni hapana

  Inawezekana umekisikia kwa mtu unayemwamini sana au umesikia hoja nzito iliyongia hasa nakukubalika akilini mwako inayoweza kuwa kweli .So fafanua

  Remeber in any game there are looser and winners. Its regulators and not players that should put and observe rules to make a game fairer.


  Clouds FM is just single player in tanzania music industry. How can music sucess or failure rely on just this one player?????!!!
   
 4. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  me ninae mshikaj kabisa ni msanii wa mziki huu.pia kaka yake ni msanii, wote wanafanya rap-HIPHOP.Alichowahi kunambia ni kua hawa mawingu FM wanatabia ya kumwekea msanii limitation ya kushine, akanipa mfano wa wasanii kibao amabao walitoka na wakafana sana ila baada ya mda wakapotea wote, halaf wakaibuka wengine.kinacotokea ni kua wanakutukuza na kukupeleka haya sana, halaf wanakutumia kutengeneza fedha katika matamasha na shoo, then wanakupotezea, labda tu uwemjanja kama akina Jomakini, prof jiz, Ay,FA,Lady jay, n.k ambao wameweza kuweka efforts zao na wamesimama toka walipotoka hadi leo ni mastaa.

  Ila hwa wakina king wa Ilala!! mh sijui??
   
 5. leseiyo

  leseiyo Senior Member

  #5
  Feb 16, 2011
  Joined: Oct 25, 2007
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anayetajwa sana kuua muziki ni jamaa mmoja anaitwa Ruge Mutahaba ambaye ni Meneja wa Kituo hicho.Amekuwa akiandaa matamasha mengi na kuwalipa wasanii fedha za kpuuzi na wanapokataa nyimbo zao zinatupwa kapuni.Aidha,ameanzisha makampuni uchwara mengi ambayo yameteka tasnia nzima ya Bongo Flava kwa lengo la kuwakomoa wasanii wasioendana na sera zake za unyonyaji.Moja ya vitu ambavyo sugu amekuwa akipambana navyo ni Tuhuma zinazomhsu huyu jamaa na January Makamba za kumpora dili la Malaria No More na sasa anatajwa kusajili Chama Hewa na kuchota Mamilioni ya fedha kutoka kwa JK kwa niaba ya wasanii na kuyatafuna.Sugu anasema kwamba,kila mwaka JK anampa jamaa Mil.224.Ni aibu tupu.
   
 6. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nashukulu lakini ukae ukijua karibia radio zote wanachukua pesa kwa wasanii !
  labda ungenambia kuhusu hilo la hizo show zao kama fiesta ntakuelewa kwamba jamaa wanawanyonya mwanamuziki !
  kiasi kwamba wasanii wakubwa mpaka leo wanashindwa kusimama peke yao mfano ngwair, blue, na wengineo kibao
   
 7. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sababu kubwa ya kuwekewa limitation ya kushine ni nn hasa !
   
 8. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  malalamikokama haya yamewafikia wahuika kwa maandishi na kuchunguzwa.

  Waambieni wanaoathirwa wanede FCC( Fair competion commision na vyombo kama hivyo)


  Tatizo watanzania hatu report mambo kwa wahusika au taasisi husika kwa kisingizio hata ukireport hawatafanya kitu lakini tufanye tunachotakiwa kufanya alafu tuwalamu wale ambao hawakuchukua hatua.

  Itakuwa busara kama kuna msanii au kikundi cha wasanii wanaandika barua rasmi ya miscoduct ya mawingu fm. Hata wasipotaja majina yao. then kuanzia hapo tutaona wahusika watacheza sarakasi gani?

  Mshauri huyo mshikaji wako afanye mambo kisomi.mambo hayaishi kwa kuzungumza magazeti au kwenye majukwaa. na hapa Atafute chombo chakuandikla malalamiko yake ki ofisi. malalamiko yakiwa kwenyekumbukumbu za kiofisi hata kama hayajafinyiwa kazi yana maana sana.

  Si mlimuona sugu ana baruaumbu za kimaandishi zote alizoandika walizojibu amabzo hawakujibu etc
  .

  Documentation ni muhimu
   
 9. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  lililopo hapa ni kukubakli au kukataa kwa hoja au vp !swala la nani kasema hata ukimjua huwezi kufanya lolote !samahani kama na ww ni moja ya wanaofugwa na ruge !!!!!!!!!!!!
   
 10. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  aah mbona simple UKISHINE = MASHABIKI wengi = KUUZA ZAIDI KAZI YAKO = KIPATO KUONGEZEKA = KUWA HURU NA KUJITEGEMEA!

  Mawingu wako against hayo yote............ili wakutumie na kukunyonya
   
 11. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Anafugwa duh mkuu umeua, lkn huenda kwli jamaa anae ni mutawa wa Ruge so utegemee nini hapo, by the way jamaa kasema pumba tupu hata mie simuungi mkono wala mguu, eti kaambiwa na nani inamhusu nini yeye ZING?F.U.C.K CLOUD FM and RUGE
   
 12. Diehard

  Diehard JF-Expert Member

  #12
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Muulizeni Juma Nature alichofdanywa na hawa jamaa, kapuni
   
 13. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #13
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  l
  mkuu na kibla naye tatizo kweli hao jamaa noma !!!!!!!!!
  lakn isje ikawa wasanii wanaishiwa 2nasema clouds fm!
   
 14. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #14
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
   
 15. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #15
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwanilizozipata kwa wadau wengine wanasema siku hizi wasanii wanalazimishwa kupanda stage na watoto wa tht !!!!!!!!!!!!
  ukigoma unalooo !
  huwezi amni hadi temba na chege wanapanda stage na hao watoto !
  wengne ni ay na fa achilia mbali wenzao wakina barnaba
   
 16. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Ngwair ni mlevi hawezi kusimama,muziki kqama kazi unahitaji nidhamu sasa ngwair wakati wote anafonya ulabu atafikiria kutoka kweli na pia huku akiwa na shemeji yetu mtasha anasahau yote
   
 17. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #17
  Feb 19, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Thakas kwa kasfa zako uwe tayari na wewe kupokea kashfa .inawezekana nafugwa au sifugwi na na huyo Ruge. Sasa nakujibu hivi

  Inonekana
  wewe EL MAGNIFICAL medula oblangata yao iko kwenye makalio. Nashindwa kukushangaa Hoja uliyoleta unauliza hivi


  Nakujibu kama ulivyonijibu wewewe mwenyewe

  Swala la Clouds kama inauwa muziki hata ukijua huwezi kufanya lolote !samahani kama na ww ni moja ya "bongo flavoured" ambaye sucess or failure ya career yake yameshikiliwa na ruge huku hujui ufanye nini zaidi ya kulia lia teh teh teh . Upo hapo??????

  Be profeesional heshmu kazi yako fanya kazi kisomi . Kaombe ushauri kwa Mr sugu. kama wasanii wanakula hela za matamasha hata kabla ya kuona mikataba matokeo yake nini?????. Wanapewa chambo wananasa. Umbumbu undio maana mnaliwa hata tigo

  Mbaya zaidi kuudhihirisha kuwa unatumia akili ya makalio badala ya ubongo umeandika maneno haya


  Inabidi nicheke hahahha. eti kukataa au kukubali kwa hoja . Zaidi ya neno hoja ulioandiika mbona wewe hujandika hoja yeyote zaidi ya kutapa tapa tu kama unataka kuharisha huku choo kikiwa cha foleni..

  Hivi mtu akifutilia mimi na wewe nani aliyeandika comment zenye hoja ? au unadhani kweka neno hoja tu kunatoshela iwe hoja ?

  Tuendeleee na hoja but dawa ya moto sometime ni moto   
 18. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #18
  Feb 19, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Guys, I haven't listened to clouds radio for over 3yrs...however, have to admit on extent of ur discussions here that, this radio rules!

  If people are opressed and all, aren't there other radios that can support them ? THT is a good initiative to get new vipaji

  If people thinks the place is killing their talent simply go to proper legal channel established to protect...above all, youth should have radio mbadala ...

  I know the guys rules and there is nothing people can do abt it, though we can vent all we can, but credit should be given where it deserves...

  Luckly for me...I don't listen to it and am definetly not missing it!
   
 19. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #19
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sishangai hata shetani ana mawakala wake kanisani !!!!!!!!
  maneno ndugu yake kanga inawezekana we ni mvaaji mzuri tu !!!!!!!!!
  wasalimie wenzio tht !!!!!!!!!
  na baba enu ruge !!!!!!!!!!!!
   
 20. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  umeazisha thread
  watu wanajaribu kuleta hoja unawakejekeli. yaani unataka watu wote akili zifananane. jiulize dunia ingekuwa wapi kama watu wote wangekuwa na akili za kiazi kama za kwako. nyamaf wewe . lazima kuwe na tofauti hata kama ni vichaaa wapo wenye nafuu.

  Unakejeli watu badala ya hoja . ukijelewa unaruka ruka . sasa nini unachoweza?. Nimeadika hoja umetukana. Nimekutukana unataka kurudi kwenye hoja lakini bado sioni hoja. Njooo ni kupakate basi. kama unataka ukalishiwe upanga pia naweza kufikiria. hata ukitaka kukalia kigogo Usiwe na wasiwasi utalipiwa tu


  Sawa nitamsalimia baba angu ruge ila na wewe msalimie mama yako EL MAGNIFICAL mwambie anasalimiwa

  teh teh teh teh
   
Loading...