Uzalendo: Shigongo na tamasha la uzalendo linalopingana na uzalendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzalendo: Shigongo na tamasha la uzalendo linalopingana na uzalendo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by POMPO, Mar 25, 2011.

 1. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Eric Shigongo na mwenzie Kusaga kwa kutumia makampuni yao, wanafanya tamasha kubwa la muziki jumamosi hii pale biafra kino. likiwa na lengo kuu la kuhamasisha vijana kuwa wazalendo na nchi yako. Tamasha hili limeonekana ndio la kwanza kupinga UZALENDO Ikizingatiwa kuwa:
  1. Siku ya J'mosi timu yetu ya taifa stars inamechi na vijana wa africa magharibi. UZALENDO UPO WAPI?
  2. Tamasha hili limekuwa na picha ya kupinga maandamano ya chadema ambapo. Chadema inasisitiza raia wake tuwe wazalendo, that why huwa wanawaita raia kuwa "wana wa nchi" Je tamasha hili ni la kujenga uzalendo ama kuondoa uzalendo?
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Thanx....umenena
   
 3. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Puppet tu huyo...
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  kila nikisikia au kusoma neno shigongo huwa napatwa na kichefuchefu kama ninavyoptwaga na kichefuchefu nikiona vitabu vya riwaya zilizojaa uzushi na udaku.
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  Anadanganya watu eti BADO TUNAHITAJI AMANI YETU!swali anayevunja amani ni nani kama si yule anayefanya lita ya dizeli sh 2000 hapa dar wakati inauzwa lilongwe malawi sh 1500 kwa lita leo?60% ya bei ya mafuta ni kodi ya serikali.MWANA UDAKU NA CLOUDS HAWANA LOLOTE ZAIDI YA KUNUNULIWA
   
 6. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wakuu vijana wetu "taifa star" wana mechi. Kwa nini wasihamasishe vijana na "wana wa nchi" tukashngilie timu yetu ya taifa? Na kwa nini lisiwe ni tamasha kupinga ufisadi ili vijana wawe wazalendo na nchi yao?
   
 7. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Naweza kusema hili ni tamasha la uzalendo lililokosa uzalendo......Tamasha saa 5 hadi 12:30 wakati timu ya taifa ambayo inahitaji uzalendo wetu iko uwanjani

  Huu ni upuuzi wa hali ya juu unaoonesha waandaaji ni wahuni tu ambao nao wamekosa uzalendo

  Au ndio htyle ya tendeni ninachohubiri na sio ninachotenda??

  Mtahudhuria nyie na wapuuzi wenzenuu
   
 8. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  yawezekana shigo ana sura mbili. Nimepata kuhudhuria public talk yake. Ni mtu mzuri anayejua ku inspire. Naweza sema wanakaribiana na azim jamal. Kwa mantiki hii akitumika vibaya anaweza kuharibu sana. Akitumika vyema anajenga sana. Hivyo Suala hapa kuhusu tamasha na maingiliano ni kwa mtu binafsi kufanya opportunity cost. Kama mapenzi yako ni soka sidhani kama unywele utatikisika ukisikia tamasha
   
 9. leseiyo

  leseiyo Senior Member

  #9
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 25, 2007
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vilevile si la kizalendo kwa sababu anatumia wasanii ambao wana njaa na kesho wanatakiwa wawe kwenye tunzo za muziki za Taifa
   
 10. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  politics is a game
   
 11. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Wanajikomba na kujipendekeza kwa ****** kwa maslahi binafsi hao wanasingizia vijana na uzalendo. Angekuwa na uzalendo wa kweli si angewahamasisha wananchi wa Buchosa, alikogombea kwa ticket ya CCM ubunge na kushindwa vibaya kura ya maoni, wampe kura za kutosha kwa kuwa ni mzalendo?? Hawa jamaa Shigongo, Ruge na Kussaga wameishazoea kula kupitia migongo ya watu. Nani hajui kuwa shigongo ametajirika kwa kuweka picha za uchi za dada zetu katika magazeti yake huku akiweka habari ambazo headline na stori yake haviendani kabisa? Gazeti lake la uwazi limekuwa likiwadhalilisha maiti kwa kuweka picha za kutisha za watu waliokufa au kuuwawa bila kujali kuwa ni kosa kisheria. Leo hii anawaalika vijana anasema waende katika tamasha la uzalendo? Mbona Sugu ni mzalendo kuliko wao na wananchi wamemkubali hadi kumpa ubunge na ameshiriki maandamano ya CDM ambayo ni chimbuko la hawa jamaa kutumia hiyo fursa kujipendekeza kwa ******.... Hii nchi inarakiwa kubadili namna ya kuendesha mambo ili wanafiki kama hawa badala ya kusifiwa wapigwe mawe.
   
 12. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Wanataka kuchakachua akili za vijana tu!( ndizo sifa walizonazo Clouds Fm na Shigongo ) kupotosha maadili si Uzalendo....Hakuna jipya!!!!
   
 13. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #13
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Hadi mnafikia mahali mnakuwa na matamasha ya uzalendo kweli taifa lina matatizo; lakini maneno yana maana - nitasubiri kusikia huo uzalendo unatafriwaji maana inawezekana uzalendo wa mmoja kwa mwingine ni ufisadi!
   
 14. A

  Ame JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Kingine kinachoniudhi ni pale anapojidai anampenda Mungu huku anawadhalilisha binadamu wenzake, anashindwa kuwasitiri. Watoto wangu nimewafundisha hayo magazeti yake ni ya urgent wa shetani basi wakiyaona tu wanaogopa na kuwakataza hata wenzao. Nashukuru watakuwa safe na hiyo propaganda yake ya kuuza utu wa mwanadamu kwa faida ya rupia. Partner wangu tumekubaliana akilisoma nikamwona nitalaka maana hakuna ushirika kati ya mwanga na giza ni bora niwe single parent kuliko kuwa na mtu ambaye atanisaidia kwenda jehanamu kwa kushiriki dhambi ya kudhalilisha utu wa mwanadamu.
   
Loading...