Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
Nami binafsi nasema mleta mada kachemka. Kwani kama alitishiwa kweli ni kosa kuandika? Kwa hiyo kama ikitokea nyaraka zimepatikana zina sahihi ya Rostam ndio ijulikane kuwa zimeghushiwa? Kwani Rostam ana usafi gani hadi tuamini kuwa hizo nyaraka zitakuwa zimeghushiwa? Mbona Mwakyembe alishasema kuwa huto RA ndio inzi anayetusumbua?