Recent content by leonwillian

  1. leonwillian

    Burger king Kenya is On a Luhya mission

    Burger King Kenya walipost hio kitu siku ya April fools kwenye facebook page kama joke[emoji16]
  2. leonwillian

    Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

    Watu kama yeye ni muhimu sana kwa kipindi hiki ambacho mtu ukicriticise serikali kidogo unafungwa.. We need more people like this!
  3. leonwillian

    Je, ni kweli Makonda kutunukiwa PhD ya heshima huko SA?

    Heshima ya kugushi vyeti!? [emoji23]
  4. leonwillian

    TCU wameua ndoto yangu

    Pole bro! Hio haimaanishi kwamba ndo mwisho wa kwenda chuo! Try looking for universities abroad. Kuna vyuo vya China, India, vinaweza kukuchukua.. Au kwa vyuo vya Eastafrica nenda Kenya na Uganda.. Most Public universities in East africa like Makerere University and University of nairobi have...
  5. leonwillian

    MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    Hii video haijanishangaza! Hii shida ya walimu kufanya unyama wa hivo ilikuepo hata secondary nilosomea! Sema tu havikurekodiwa kama ya huyu!! The Brutality of Teachers in schools has always been there! its the cameras that are new!o_O I hope the Government adresses/ finds a solution to this...
  6. leonwillian

    Msaada: Nimesahau password ya kufungulia account TCU

    Ahaha.. Hata mdogo wangu alikua amesahau password yake! Inabidi utengeneze password kwa kubonyeza ile sehemu iloandikwa "forgot password" afu uingize details ikiwemo transaction id ambayo ulipata ulivoenda kulipia kufungua account. afu uiingize
  7. leonwillian

    All Africa passport to be launched in KIGALI next week!

    President Uhuru Kenyatta, his fellow Africans Heads of State and their respective foreign affairs ministers will be given the electronic passports in a symbolic gesture during a summit in Kigali, Rwanda. This is part of a longer-term plan to have a continental passport by 2020 granted all 1.1...
  8. leonwillian

    Benki zaanza kuwakamua Watanzania kwa kuongeza kodi (VAT) ya 18%

    Nimesoma kwenye reilable source kwamba, Hio asilimia 18 TRA wanaikata kwenye makato benki so Makato kwa wananchi yanabaki constant!;)
  9. leonwillian

    Series (Special thread)

    Quantico ni nzuri sana..
  10. leonwillian

    GE2015 If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

    Thing is CCM is trying so hard maintain its ruling party position and is doing whatever it takes even if its faking ballot papers or whatever... It also sickens me that people when they get into power there's not too much they do to contribute to development of our economy.. Thats why we just...
  11. leonwillian

    We can't put a blind eye to this like nothing happened..

    Kwanini hakuna steps zinazochukuliwa baada ya kukamata hizo ballot papers zimetikiwa magufuli.. :rolleyes: Labda hizo zilizokamatwa ni baadhi tu.. We can't put a blind eye to this like nothing happened.. :o
  12. leonwillian

    CCM's promoted hashtag #karibudodoma is trending on Twitter in Kenya!

    :laugh::laugh: Watu wanafikiri #KaribuDodoma ni Hoteli:laugh:
  13. leonwillian

    CCM's promoted hashtag #karibudodoma is trending on Twitter in Kenya!

    CCM`s promoted hashtag #karibudodoma is trending on Twitter in Kenya! Kenyans are wondering why its trending!!! :A S-confused1:These are some of the responses. Batuz pisces ‏@drizzylowe 24m24 minutes ago So these guys walilipia hii #KaribuDodoma trend ipromotiwe Kenya??????? I could've...
  14. leonwillian

    Mbowe: The Future of Democracy and Freedom in Tanzania Is at Stake

    WORD..:A S 41: Tanzania literally needs more leaders like him!
Back
Top Bottom