Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Leo nimeona advert IG ya burger king kenya and am stunned TF is this
kuna Burger King, steers na KFC, McDonald's wapo njianiKenya hivi mna international food chains ngp,the giant ones? naulza kwa nia nzuri tu
Luhya ndo nini?
Nice wazeekuna Burger King, steers na KFC
Kenya hivi mna international food chains ngp,the giant ones? naulza kwa nia nzuri tu
Nice aisee,Subway, KFC, Domino’s Pizza, Cold Stone Creamery, Ocean Basket(SA), Naked Pizza
Also McDonald's have begun plans of entering our market.
McDonald's To Join Growing List Of Global Food Chains Flooding Kenya - Ventures Africa
Subway, KFC, Steers, Burger King, Artcaffe etcKenya hivi mna international food chains ngp,the giant ones? naulza kwa nia nzuri tu
Kenya hivi mna international food chains ngp,the giant ones? naulza kwa nia nzuri tu
Local kukus ni watamu kuliko hao wa kfc ,MacDonald combined, nawasifu kwenye chips (French fries )hua zimetulia
These are the majors, but I am certain I left out a few.
- Subway
- KFC
- Burger King
- Hardees
- Dominos Pizza
- Cold Stone Creamery
- Pizza Hut
- Ocean basket
Luhya ni kabila kubwa linalopatikana sehemu za Western Kenya.Miji kama Kakamega,Busia zipo uluhyani.Nimeona watz wengine na majina ya kiluhya.Wekesa,Simiyu,sijui watakuwa ni wahaya?Hawajatajwa 'kiukabila',lakini ukitaja Ugali au Kuku bila kutaja waluhya huku Kenya jamaa huwa wana'catch mafeelings' sana.Chakula chao hicho,wanakipenda kuliko wanavojipenda!Afu jombaa mluhya asione umeandika jina Ugali ukinzia na herufi ndogo.Kwa mfano ugali na kuku!Utaskia wanakuambia heshimu mali ya wenyewe jamaa!Inafaa kuandikwa kama Ugali na Kuku!Herufi kubwa tafadhali!Haha!Luhya ndo nini?
Anajua vizuri Luhya ni nini, but there is a reason he asked that.Luhya ni kabila kubwa linalopatikana sehemu za Western Kenya.Miji kama Kakamega,Busia zipo uluhyani.Nimeona watz wengine na majina ya kiluhya.Wekesa,Simiyu,sijui watakuwa ni wahaya?Hawajatajwa 'kiukabila',lakini ukitaja Ugali au Kuku bila kutaja waluhya huku Kenya jamaa huwa wana'catch mafeelings' sana.Chakula chao hicho,wanakipenda kuliko wanavojipenda!Afu jombaa mluhya asione umeandika jina Ugali ukinzia na herufi ndogo.Kwa mfano ugali na kuku!Utaskia wanakuambia heshimu mali ya wenyewe jamaa!Inafaa kuandikwa kama Ugali na Kuku!Herufi kubwa tafadhali!Haha!
KFCKenya hivi mna international food chains ngp,the giant ones? naulza kwa nia nzuri tu
So ni tofauti na Luo?Luhya ni kabila kubwa linalopatikana sehemu za Western Kenya.Miji kama Kakamega,Busia zipo uluhyani.Nimeona watz wengine na majina ya kiluhya.Wekesa,Simiyu,sijui watakuwa ni wahaya?Hawajatajwa 'kiukabila',lakini ukitaja Ugali au Kuku bila kutaja waluhya huku Kenya jamaa huwa wana'catch mafeelings' sana.Chakula chao hicho,wanakipenda kuliko wanavojipenda!Afu jombaa mluhya asione umeandika jina Ugali ukinzia na herufi ndogo.Kwa mfano ugali na kuku!Utaskia wanakuambia heshimu mali ya wenyewe jamaa!Inafaa kuandikwa kama Ugali na Kuku!Herufi kubwa tafadhali!Haha!
Luo ni Lake side NilotesSo ni tofauti na Luo?