Div 2,wa form 6 wa PCB akasome diploma 3yrs badaka ya degree? Bora hata asubiri mwakaniunaeza ukaanzia diploma ya pharmacy au nursing mkuuu.... choose another path but target for the same destination
Angalia matokeo take ya 4m 6 utagundua yanatosha kabisa kupiga digrii....labda tu km shida yake ni AJIRA ndo akasome diplomaAchana na digrii nenda kachukue diploma ya hiyo medical kisha utaunga degree juu kwa juu.
Huja chelewa ndugu kama unania utaweza kwan kutangulia sio kufika unaweza pitia diploma ukapiga Clinical officer then ukaja ukapiga MDNakumbuka nilipokuwa mtoto watu wazima wakiniuliza,"ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?" niliwajibu "nataka kuwa daktari kwani napenda nije kuwasaidia wagonjwa"
Wazazi wangu ni maskini lakini hawakutilia shaka na uamuzi wangu.Walijitahidi kwa hali na mali ili nifikie ndoto yangu.Walilipa karo zangu za shule na hata pesa kwa ajili ya tuition.
Nilipofika A level nilijitahidi sana kwenye masomo yangu ya mchepuo wa PCB.Wazazi wangu hawakuwa nyuma kunipa msaada wa kimawazo na pesa pale ilipohitajika kunilipia tuition na kununua mavitabu makubwa kama BS,Chand,Nelkon na mavitabu mengineyo ingawa hali yao kiuchumi haikuwa nzuri.
Picha lilianza pale NECTA walipobadilisha gia kwa kupandisha grades tukiwa kwenye hatua za mwisho za kumaliza kidato cha sita.Lakini hilo halikunishtua sana nilijitahidi sana bila kukata tamaa ingawa sikusoma shule bora sana.
Matokeo yalipotoka sio haba nilipata Div 2.11 yaani DDC, nikajipa moyo kwamba nitachaguliwa medical school.Part two ya picha ilikuja pale TCU ilipovifungia baadhi ya vyuo ambavyo vinatoa course za afya na kupunguza admission capacity kwenye vyuo vilivyobaki.
Nimepigwa danadana katika selections kutoka 1st round hadi 3rd round.Roho imeniuma pale nilipoona hata hii 3rd round haina vyuo za afya.
Nimebaki kushika tama, medical school ni jambo la kusikika tu kwangu.
Ndoto yangu tayari imeyeyuka.
je kama mwakani watoto kipasua zaidi atafanyaje?Div 2,wa form 6 wa PCB akasome diploma 3yrs badaka ya degree? Bora hata asubiri mwakani
Wastage of time
kwel kabisa, mimi nilipata 1:9 CBG,kutokana na kutokuwa na pesa za kwenda private maana advanc yenyew nilimaliza kwa mbinde though michango kwa ujumla haizid lak 4 kwa mwaka, nikaamua kuomba vyuo vya serikal kwa program za afya! kutokana na admission capacity kuwa ndogo sana kwa udom, muhas, ajuco nikaamua kuweka education kama last priority ili nikikosa afya bac nipate hata eductn kwa chuo ninachokipenda! na mambo ya kawa ivy nimechaguliwa ed na sijajutia maamuz yang maana ilikuwa hamna namna. N.B ufaulu wa 2.11 ni kawaida sana kwa mwaka huu! tena unasema huna pesa za kutosha kwenda privat kama vile bugando,st joseph, khairuk! nilitegemea hata 2nd selectn ungeweka educatn! mi nakushaur nenda tu education ndo bongo edcKijana we are on the same boat picha yako na yangu ni sawa kabisaaa ko nadhan tukubali matokeo ili tusiwavunje moyo wazaz waliojitowa hata kwa maombi tukafika hapa tukawe maticha2 udactar mungu akipenda tutaangalia miaka ijayo!
Bado Inawezekana nyanyuka songa mbele sote kesho hatuifahamuNakumbuka nilipokuwa mtoto watu wazima wakiniuliza,"ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?" niliwajibu "nataka kuwa daktari kwani napenda nije kuwasaidia wagonjwa"
Wazazi wangu ni maskini lakini hawakutilia shaka na uamuzi wangu.Walijitahidi kwa hali na mali ili nifikie ndoto yangu.Walilipa karo zangu za shule na hata pesa kwa ajili ya tuition.
Nilipofika A level nilijitahidi sana kwenye masomo yangu ya mchepuo wa PCB.Wazazi wangu hawakuwa nyuma kunipa msaada wa kimawazo na pesa pale ilipohitajika kunilipia tuition na kununua mavitabu makubwa kama BS,Chand,Nelkon na mavitabu mengineyo ingawa hali yao kiuchumi haikuwa nzuri.
Picha lilianza pale NECTA walipobadilisha gia kwa kupandisha grades tukiwa kwenye hatua za mwisho za kumaliza kidato cha sita.Lakini hilo halikunishtua sana nilijitahidi sana bila kukata tamaa ingawa sikusoma shule bora sana.
Matokeo yalipotoka sio haba nilipata Div 2.11 yaani DDC, nikajipa moyo kwamba nitachaguliwa medical school.Part two ya picha ilikuja pale TCU ilipovifungia baadhi ya vyuo ambavyo vinatoa course za afya na kupunguza admission capacity kwenye vyuo vilivyobaki.
Nimepigwa danadana katika selections kutoka 1st round hadi 3rd round.Roho imeniuma pale nilipoona hata hii 3rd round haina vyuo za afya.
Nimebaki kushika tama, medical school ni jambo la kusikika tu kwangu.
Ndoto yangu tayari imeyeyuka.
ndiyo mkuu lengo ni kutimiza ndoto yake na atafurahia kazi yake kuliko kufanya kile amabacho hakipo moyoniana div 2 asome diploma?![]()
![]()
pole sana mkuu haya ni maisha tu nimeamin alueko juu hamngoj wa chinNakumbuka nilipokuwa mtoto watu wazima wakiniuliza,"ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?" niliwajibu "nataka kuwa daktari kwani napenda nije kuwasaidia wagonjwa"
Wazazi wangu ni maskini lakini hawakutilia shaka na uamuzi wangu.Walijitahidi kwa hali na mali ili nifikie ndoto yangu.Walilipa karo zangu za shule na hata pesa kwa ajili ya tuition.
Nilipofika A level nilijitahidi sana kwenye masomo yangu ya mchepuo wa PCB.Wazazi wangu hawakuwa nyuma kunipa msaada wa kimawazo na pesa pale ilipohitajika kunilipia tuition na kununua mavitabu makubwa kama BS,Chand,Nelkon na mavitabu mengineyo ingawa hali yao kiuchumi haikuwa nzuri.
Picha lilianza pale NECTA walipobadilisha gia kwa kupandisha grades tukiwa kwenye hatua za mwisho za kumaliza kidato cha sita.Lakini hilo halikunishtua sana nilijitahidi sana bila kukata tamaa ingawa sikusoma shule bora sana.
Matokeo yalipotoka sio haba nilipata Div 2.11 yaani DDC, nikajipa moyo kwamba nitachaguliwa medical school.Part two ya picha ilikuja pale TCU ilipovifungia baadhi ya vyuo ambavyo vinatoa course za afya na kupunguza admission capacity kwenye vyuo vilivyobaki.
Nimepigwa danadana katika selections kutoka 1st round hadi 3rd round.Roho imeniuma pale nilipoona hata hii 3rd round haina vyuo za afya.
Nimebaki kushika tama, medical school ni jambo la kusikika tu kwangu.
Ndoto yangu tayari imeyeyuka.
bado haimek sense kuwa na 2 halafu usome diploma.inabidi aende diploma ya mambo anayoyapenda
Mwaka huu wenye div 2 hata walioanzia hivyo vyuo unavyovisema wamekosa. COLLEGE ya Health Science ya UDOM ilikuwa inasaidia sana kuchukua wanafunzi wengi.Najua ulifanya uchaguzi mbaya wa kozi na huenda vyuo vyenye ushindani mkubwa sana ndio uliviweka,next time wakati unaomba zingatia ushinda,usichgue tu Muhimbili na Udsm ,anza na vyuo kama AJUCO,St. Francis etc
You still have a chance
Amenpole mkuu, another door is open for you!