Msaada uandishi wa CV ya page moja

Hawa naona kama matapeli nimesoma vizuri wanasema eti lazima ufanye security clearance na kuna tangazo la kaz moja nakumbuka waliandika hivo hivo bbadae unaaambiwa kufanya security clearance utume dola 50 sjui

Hapana bhana
 
Wakuu naomba mwongozo wenu jinsi ya kuandika au kuaandaa wasifu wa kurasa moja.
Ni vitu gani vinavyotakiwa na ni muhimu kama utatakiwa kuandika CV ya page moja.

Msaada wakuu na pia natanguliza shukrani.
ccfe0929b7084ef3c700bbd48d9d546b.jpg
acefd600fa8f9680c653916160373d93.jpg
Wakati unasubiri kusaidiwa kuandaika CV yako, watu wameshakuwahi wao kwa kuweka wazi mambo yako muhimu, kuwa makinin mara nyingine, unaweza kutoa opportunity ambayo we mwenyewe huja ikwaa bado
 
Wakati unasubiri kusaidiwa kuandaika CV yako, watu wameshakuwahi wao kwa kuweka wazi mambo yako muhimu, kuwa makinin mara nyingine, unaweza kutoa opportunity ambayo we mwenyewe huja ikwaa bado

Sio mbaya kushare kama haikua yangu hata kama nisingeweka hapa nisingepata ila kama yangu hata kama nikishare hapa napata na pia haya mambo ya ajira au nafasi za kazi sio zakukumbatia
 
Kwanini usiweke hapahapa mkuu iwe faida na kwa wengine.....!!!

Unaongelea CV au resume?CV huwezi kuiandika kwenye Page moja labda kama wewe ndio umetoka chuo.Resume unaweza kuiandika kwenye page moja ingawa huwa wanashauri iwe.pages 2 max.CV na resume ni vitu 2 tofauti.Kingine hizi zinatofautiana kulingana na kazi unayoitafuta.Ni pm nikupe maelezo nina uzoevu wa kuapply na kupata kazi hadi za nje ya nchi.
 
mkuu namm naku pm aisee barua zangu kadhaa ht majb tu cpat
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom