Recent content by lemutunguz

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Serikali kuzuia tusitumie uwanja wa Mashujaa ni uonevu

    Ili upoteze kitu lazuma uwe nacho, xaxa kama huna unapotezaje? Akili hawana sio wamepoteza..
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Serikali kuzuia tusitumie uwanja wa Mashujaa ni uonevu

    Wivu wa kike, waliwekewa au waliweka kwa pesa zao na kujali umuhimu wa sovial service, ukipata zako kaa unaoa mke wa nne alagu jidanganye na rea
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simu yangu inakataa kuconect waysap

    Natumia tigo 4g na na ina kasi balaaa
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simu yangu inakataa kuconect waysap

    Za saa hizi wadau, natumia Tecno phantom 6 plus, tokea jana simu inagoma kabisa kuconnect na net ila kwenye watsap tu... ila.nikifanya tethering watsap inafanya kazi poa tuu ... Ila nikiwasha data kila kitu kiko poa whatsap inaniandikia you may have new messages lakin msg...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Funza

    Tiba wanayo ccm mkuu....[emoji23][emoji23]
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui yukoje huyu dada

    Mtegetwa na ustadhi si ni advance kaka, huyu form 3... ndio umri.wao
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaniambia tuachane baada tu ya kumwambia aje kwangu

    Tofauti ya msaada na kuhonga n nn
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kubwa lakini halimzidi bashite
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Karibuni tongwe tumsake roma na moni
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Au unamzungumzia roma na moni maana ndio wa moto hapa kwetu...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Crdb mkuu, sijawahi tumia nunua kitu online.....
  12. L

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Habari za jion, naomba kujua jinsi ya kulipia huduma online, especially kama kama service yenyewe iko china,.marekani nk.... Nimejaribu kutumia card zangu za benki ila zinakataa
  13. L

    JamiiForums Tanzania Am new here guyz!

    Jibu swali, ww ni me au ke??? Ww mke kuna mtu kauliza ka umeolewa?
Back
Top Bottom