RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,516
- 1,776
wakuu, kuna binti nlikuwa namuelewa so ikabidi nimfate nimueleze kilicho rohoni mwangu, basi mtoto akawa anarukaruka, anajidai mara sms hajibu, na mambo mengi tulianza taratibu kuzoeana lakini shobo kwa huyu dada haziishi sasa jana nkawa watsap nkamuona online nkam-text, hakujbu akawa anatoka anaingia nkamtext tena kimya ila hyo tabia waga anayo, nkamuambia acha dharau, lol mtoto kanibadilikia kapanic kasema na namba yake nifute,na ukweli nampenda je nifanyeje? maana binti kashantakia maisha mema