Mbowe: Serikali kuzuia tusitumie uwanja wa Mashujaa ni uonevu

Hahaha hata Scotland SN ni cha Scotland tu, South ANC haipati kitu jimbo la Cape. USA democrats hawatii pua Texas. Forza Italia ni ya Northern Italy tu. Sasa wewe kaa umejifungua hapo Dodoma endelea kusema CDM ni ya kaskazini tu. Kwani hata ingekuwa hivyo kungekuwa na ubaya gani?

ACT ni ya kigoma mjini tu mbona hauulizi?
UDP ni ya Bariadi tu mbona hujasema ni ya wasukuma?

Nyie watu akili mlizipotezea wapi?
Ili upoteze kitu lazuma uwe nacho, xaxa kama huna unapotezaje? Akili hawana sio wamepoteza..
 
makubwa ...kwani alikuwa shujaa wa nini huyo marehemu?...samahani lakini? na je arusha na kilimanjaro nzima maturumbeta yako polisi tu? na je watu wa kaskazini tuu ndio wanaobaguliwa? ina maana chadema haina wanachama wenye maturumbeta? sasa kama mmegundua kama mnaonewa hii siyo opportunity ya kujenga na kumiliki vitu vyenu wenyewe ili muachane na hii adha ya ubaguzi...just saying
Umeandika nini sasa
 
Acheni kulialia. Tanzania ni ya Watanzania wote. Mbona mikoa mingine imeonewa na iko nyuma sana kimaendeleo lakini wanavumilia! Tujifunze kuwa wastaarabu na ustaamilivu. Huwezi kupata kila unachotaka pale unapohitaji.
Kwa hiyo jirani yako akiuawa kinyume cha sheria kiuonevu hilo linafanya wewe kuuawa hivyo hivyo kuwe sawa, uvumilie tu, kwa sababu hata jirani yako kafanyiwa hivyo?
 
Kwani Magufuli alipoenda Moshi alitumia uwanja upi? Wakati wa kampeni mahakama na shule zilikuwa zinafungwa?!
 
Back
Top Bottom