nikilinganisha picha aliyopiga na huyo binti mazingira yake ni Kota za mgodini ilogi Kahama bulyankulu. hivyo Nina Imani ni kweli huyu jamaa kaishi ilogi Kahama, Sasa kuhusu starehe hizo na tabia yake mh mh mh mkubwa hapo sina jibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.