Funguo ya gari imechomoka kwenye handle yake, msaada waungwana

Simple nunua remote nyingine kisha I program upya.
Lakini unatakiwa uwe ndani ya gari... Funguo yako unaiweka kwenye on position pale kwenye ignition.
Ukiletewa menu una reset then utakua tayari kutumia remote yako.
daah, mzee gari tuli ilock kisha funguo ikapotea ni ya remote, ilitutoka 1mil kutoa lock na kupata funguo na ufundi, bora watuwekee solex tu
 
Simple nunua remote nyingine kisha I program upya.
Lakini unatakiwa uwe ndani ya gari... Funguo yako unaiweka kwenye on position pale kwenye ignition.
Ukiletewa menu una reset then utakua tayari kutumia remote yako.
Inakua hivi
 
Mangi flani hivi piga namba hii 0714 704097 hawa jamaa wanadeal na matatizo yote yanayohusu funguo na sensor na cover sensor i mean kila kitu kuhusu funguo. Pole sana.
 
Mkuu Asante, nimewapigia... Nasubiri mwongozo.
Mangi flani hivi piga namba hii 0714 704097 hawa jamaa wanadeal na matatizo yote yanayohusu funguo na sensor na cover sensor i mean kila kitu kuhusu funguo. Pole sana.
 
Pole sana mimi nilihangaika sana kupata taa ya mazida Cx7 niliomba msaada huku kijana mmoja alijitahidi kutafuta alikosa mmoja akasema nenda Befoward Autoparts nikawapata wapo kariakoo ila niliingia google nikaagiza na ufunguo wa pili maana ulikuja mmoja sensor remote control ila unaagiziwa toka japan
Mimi hapa ndo nilikushauri uwasiliane na befowad mkuu,kumbe ulifanikiwa?!
 
Ya Japan au UK kama ya Japan kachonge wa kawaida ila kama UK kazi unayo
 
Njoo
View attachment 507062 Salam,
Ufunguo umechomoka kwenye handle yake baada ya handle kubomoka. Nimeshaunga na gundi lakini wapi.... Je, naweza kupata hiyo handle yenye remote ya namna hiyo?? Na je ni rahisi kubadilisha huo utumbo wa remote toka kwenye Hilo kava kwenda kava lingine??? Au ni nini kifanyike????

NB
Sijabandika kuonyesha kuwa ninamiliki gari, kwa hiyo watembea kwa miguu msilete mapovu yenu hapa.

Tengeneza mlango wa mninga kaka,weka union zile za england hapo
 
Watembea kwa miguu [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] ngoj tupite pemben
 
Haiwezekani mrembo utembee kwa miguu....uchafue ninihii na vumbi....sio vizuri bana ...njoo nikupe gari .....
 
View attachment 507062 Salam,
Ufunguo umechomoka kwenye handle yake baada ya handle kubomoka. Nimeshaunga na gundi lakini wapi.... Je, naweza kupata hiyo handle yenye remote ya namna hiyo?? Na je ni rahisi kubadilisha huo utumbo wa remote toka kwenye Hilo kava kwenda kava lingine??? Au ni nini kifanyike????

NB
Sijabandika kuonyesha kuwa ninamiliki gari, kwa hiyo watembea kwa miguu msilete mapovu yenu hapa.
Nenda hapo sinza kwa remi ulizia fundi funguo za gar Karibu na sinza take away unapata kila kitu nenda nahivyo vitu
 
Back
Top Bottom