pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,272
- 3,091
Katumwa na baba yake
Wewe na Lema wako ndio hamna maana. Serikali ndiyo iliyoubeba na kuandaa namna ya kuuendesha huo msiba. Hivyo walioandaa ndio waikuwa wanapanga ratiba ya nani aongee na nani wakutabulishwa tu. Badala ya kushukuru kupewa kiti meza kuu, yeye analalamika ebo!!! Umepewa lifti halafu unalalamika dereva hakukuruhusu kupiga honi. Hivi anayo akili huyu.Kwani wabunge WA CCM wanahusikaje kwenye huu msiba mpaka awafananisha na lema mbunge WA eneo la ajali????
Gambo Hana akili
Uonevu??? Wazazi wa watoto walifariki walipewa nafasi? Role zao zinasaidia nn kwenye kumfanya Mzazi apunguze machungu?Ni upuuzi na ujinga tu, local reps huwezi kuwaruka hata siku moja maana wao na huyo kiongozi wa upinzani wana role tofauti sana !!
Uonezi ulioufanya kwake awali lazima mliogopa aka guilty consciousness na hiyo itawatafuna milele !!
Kwan ulikuwa msiba ama alikuwa anamwakilisha nan hapo. Maana wananchi wote walikuwepo. Ni ujinga w garama nafuu kuanza siasa mpaka misibanikumbuka lema ndiye mbunge anaye wakilisha wananchi wa arusha na hilo ndilo jimbo lake na hao ndio wananchi walio mchagua, hata kama nimashabiki wa upumbavu kuna mengine bora mfunge tu hayo mabakuli yenu.
Wewe ndo unatumia mkundruuu kufikiri. Hapo lema hakwenda kumwakilisha yeyote alienda msibaniMajinga mengi mpo gizani sijui mnatumia kitu gani kufikir , nahisi pengine mnatumia tundu chemba kufikiri, kumbuka lema ndiye mbunge anaye wakilisha wananchi wa arusha na hilo ndilo jimbo lake na hao ndio wananchi walio mchagua, hata kama nimashabiki wa upumbavu kuna mengine bora mfunge tu hayo mabakuli yenu
Ulichoandika ndiyo siasa yenu ya majitaka iliyoshuhudiwa pale msibani.Kwan ulikuwa msiba ama alikuwa anamwakilisha nan hapo. Maana wananchi wote walikuwepo. Ni ujinga w garama nafuu kuanza siasa mpaka misibani
[emoji86] [emoji86] [emoji15] [emoji15] Gambo ni Layoni?Hawa vijana wa uvccm tutawarudisha jando tukawafunde protocol kwa viboko.
Gambo ameshukiwa kama mwewe sasa anajidai kuja na utetezi wa kitoto kama layoni.
Kwani wabunge WA CCM wanahusikaje kwenye huu msiba mpaka awafananisha na lema mbunge WA eneo la ajali????
Gambo Hana akili
Katika page yake ya instagram RC Gambo amewashukuru wanaarusha kwa kujitokeza kwa wingi kuwaaga watoto wetu na pia amekanusha uzushi unaoenezwa na Lema![]()
Ili iwejeMimi nadhani pamoja mhe Mbowe kupewa nafasi mhe Lema ambaye ni mbunge jimbo ilifaa sana naye angepewa nafasi
Ni tukio limeshughulikiwa na kiserikali, Lema kachaguliwa na wananchi, lema ni wa chadema, serikali ni ya ccm, Lema anaweza tofautiana na Raisi, kama hapo awali hadi akawekwa ndani, Gambo hawezi na hapaswi kutofautiana na kiongozi mkuu wa serikali.Mm nachowaza hivi Mkuu wa mkoa ni kachaguliwa na Raisi kuiwakilisha serikali kimkoa je Lema alochaguliwa na wananchi kwa kupigiwa kura kwann apangiwe mbele ya wananchi wake? Yan ni simple logic sanaa hata Gigi money haimsumbuhi nashangaa watu wanajiita Magreat thinker huku hoja ndogo kama hii kuinyambua TATIZO!!!