Sio kweli kabisa, ukiingia ndani kabisa mwa falsafa unakuta wakati mwengine Kuna mambo mengine ni yapo Lakin huwezi ukasense kwa kutumia hizo five organs.
Kwenye empirical knowledge (source of knowledge through sense organs) inathibitisha kwamba hizi sense organs zina limitation yake, kwa mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.