schneider
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 770
- 646
Kama ukutanguliza neno HUNA akili ningeuliza kitu lakini kwa hilo ngoja nishike NjiaWabongo hatuna akili ndo maana yesu, mtume. Manabii wote ni wazungu amna ata mbongo

Hii ya kukopeshwa tsh 350/- kwa siku sijaelewa
Hata chapati na chai haitoshi
Huyu mama pale yupo kama remote controlTatizo siyo mvaaji. Tatizo ni mnunuzi wa hicho kiatu. Wewe unavaa kiatu namba 8 sasa unalazimishwa uvae namba 12. Una mawazo mazuri sana ya kukifanya kiatu chako kipungue angalau kifikie namba tisa hivi lakini aliyekununulia hataki ukiguse kwa sababu hajaribiwi na hataki kusikia mawazo yako. Basi unajikaza tu na kushindilia matambara ili uendelee kukivaa na kumridhisha aliyekununulia. Vinginevyo ukiona matambara yana-disfigure vidole vyako na kukufanya utembee kwa shida kama mkoma kiasi cha kuchekwa na jamii basi kirudishe kiatu hicho kwa mwenyewe au kibadilishe namba kutoka 12 unayolazimishwa kuivaa mpaka 8 unayoipendelea bila ruhusa liwalo na liwe!
Wavaaji wa viatu hivi safari hii mtawaonea tu lakini kusema kweli aliyewanunulia wanamwogopa mno na wengi wamevivaa kwa woga na japo wanaumia vidole na miguu wengi wanajikaza tu hivyo hivyo. Safari ni lazima iendelee ati!
Siku anateuliwa kuongoza Wizara ya elimu (wizara ambayo ndiyo 'backbone' ya ustawi wa Taifa), nilifurahi sana. Nikajisemea moyoni kwamba sasa gari limepata 'suka' na safari itakuwa salama.
Safari ikaanza suka akiwa imara. Lakini kadri safari ilivyoendelea, nikagundua kuwa kumbe suka wetu ni 'deiwaka' tu, na sio 'profesheno' !
Akaanza ubabaishaji. Siku akalala akaota GPA ya 3.5... na kweli kesho yake tu rukwili ikapitishwa GPA ya 3.5! Nikajisemea moyoni... ohooo sasa suka kaanza kuacha reli, ngoja ni-fasten my belt kabisa mapema.
Haijaisha week, akalala akaota GPA ya 3.0... na kweli kesho yake tu rukwili GPA ya 3.0 ikapitishwa! Nikasema "toba, suka kaanza kupiga ramli kwenye safari yetu?!!"
Yote tisa.... kumi kwenye mikopo ya chuo! Hapa sasa ndiyo nimeconclude kuwa kumbe Wizara ya Elimu bado haina suka, bali deiwaka tu!
75% kukosa mkopo hii ni ajabu ya mwaka!
Mtoto wa maskini kapanda ngorika kutoka sitimbi kijijini kaja mjini kusoma chuo, eti anapewa mkopo wa Tsh. 77,000 ajikimu chuoni! Seriously kabisa Officer mzima yupo Heslb kwenye kiti cha kuzunguka ana-approve Tsh 77,000 kwa ajili ya mkopo wa mwanafunzi wa chuo??!! Hizi ni dharau kwakweli. Otherwise naanza kuamini ule utafiti kwamba nchi hii wengi wana matatizo ya akili. Heslb wanastahili wachapwe bakora nyingi sana kama mvua!
Tanzania inahitaji overhaul ya hali ya juu sana. La sivyo, dharau hizi za viongozi zitazidi kuwafanya wananchi waishi kama mashetani kweli.
Mama Ndali, absolutely sasa kiatu kinakupwaya! Ubabaishaji kwenye elimu ya nchi, Taifa mnaliweka bondi.
Mhe. Rais Magufuli anahitaji kuona Tanzania ya viwanda. Ni jambo jema sana. Ili kuifikia Tanzania ya viwanda, basi tuacheni siasa na ubabaishaji kwenye sekta ya Elimu.
-Kaveli-
Nikikumbuka pasi ndefu, kushindia mihogo ya kukaanga ya kule ng'ox, kufukuzwa rum kisa sijalipa pesa ya accomodation na wkt bumu limechelewa, maji ya ku-download... etc nakosa cha kuandika yani acha tu mazee maisha ya chuo ni mateso
yanayofanyika siku hizi mpaka unaogopaaa,ule msemo wa waswahili kua unaweza kufanya dhambi mpaka shetani akaanza kukuogopa nimeanza kuona enzi hizi...Daaaaahhhh so sad 77000?mi nilifikiri wazee wa kucheza na mtandaoni,kumbe kweliiiiiiiSiku anateuliwa kuongoza Wizara ya elimu (wizara ambayo ndiyo 'backbone' ya ustawi wa Taifa), nilifurahi sana. Nikajisemea moyoni kwamba sasa gari limepata 'suka' na safari itakuwa salama.
Safari ikaanza suka akiwa imara. Lakini kadri safari ilivyoendelea, nikagundua kuwa kumbe suka wetu ni 'deiwaka' tu, na sio 'profesheno' !
Akaanza ubabaishaji. Siku akalala akaota GPA ya 3.5... na kweli kesho yake tu rukwili ikapitishwa GPA ya 3.5! Nikajisemea moyoni... ohooo sasa suka kaanza kuacha reli, ngoja ni-fasten my belt kabisa mapema.
Haijaisha week, akalala akaota GPA ya 3.0... na kweli kesho yake tu rukwili GPA ya 3.0 ikapitishwa! Nikasema "toba, suka kaanza kupiga ramli kwenye safari yetu?!!"
Yote tisa.... kumi kwenye mikopo ya chuo! Hapa sasa ndiyo nimeconclude kuwa kumbe Wizara ya Elimu bado haina suka, bali deiwaka tu!
75% kukosa mkopo hii ni ajabu ya mwaka!
Mtoto wa maskini kapanda ngorika kutoka sitimbi kijijini kaja mjini kusoma chuo, eti anapewa mkopo wa Tsh. 77,000 ajikimu chuoni! Seriously kabisa Officer mzima yupo Heslb kwenye kiti cha kuzunguka ana-approve Tsh 77,000 kwa ajili ya mkopo wa mwanafunzi wa chuo??!! Hizi ni dharau kwakweli. Otherwise naanza kuamini ule utafiti kwamba nchi hii wengi wana matatizo ya akili. Heslb wanastahili wachapwe bakora nyingi sana kama mvua!
Tanzania inahitaji overhaul ya hali ya juu sana. La sivyo, dharau hizi za viongozi zitazidi kuwafanya wananchi waishi kama mashetani kweli.
Mama Ndali, absolutely sasa kiatu kinakupwaya! Ubabaishaji kwenye elimu ya nchi, Taifa mnaliweka bondi.
Mhe. Rais Magufuli anahitaji kuona Tanzania ya viwanda. Ni jambo jema sana. Ili kuifikia Tanzania ya viwanda, basi tuacheni siasa na ubabaishaji kwenye sekta ya Elimu.
-Kaveli-
Maneno ya mkosaji!Siku anateuliwa kuongoza Wizara ya elimu (wizara ambayo ndiyo 'backbone' ya ustawi wa Taifa), nilifurahi sana. Nikajisemea moyoni kwamba sasa gari limepata 'suka' na safari itakuwa salama.
Safari ikaanza suka akiwa imara. Lakini kadri safari ilivyoendelea, nikagundua kuwa kumbe suka wetu ni 'deiwaka' tu, na sio 'profesheno' !
Akaanza ubabaishaji. Siku akalala akaota GPA ya 3.5... na kweli kesho yake tu rukwili ikapitishwa GPA ya 3.5! Nikajisemea moyoni... ohooo sasa suka kaanza kuacha reli, ngoja ni-fasten my belt kabisa mapema.
Haijaisha week, akalala akaota GPA ya 3.0... na kweli kesho yake tu rukwili GPA ya 3.0 ikapitishwa! Nikasema "toba, suka kaanza kupiga ramli kwenye safari yetu?!!"
Yote tisa.... kumi kwenye mikopo ya chuo! Hapa sasa ndiyo nimeconclude kuwa kumbe Wizara ya Elimu bado haina suka, bali deiwaka tu!
75% kukosa mkopo hii ni ajabu ya mwaka!
Mtoto wa maskini kapanda ngorika kutoka sitimbi kijijini kaja mjini kusoma chuo, eti anapewa mkopo wa Tsh. 77,000 ajikimu chuoni! Seriously kabisa Officer mzima yupo Heslb kwenye kiti cha kuzunguka ana-approve Tsh 77,000 kwa ajili ya mkopo wa mwanafunzi wa chuo??!! Hizi ni dharau kwakweli. Otherwise naanza kuamini ule utafiti kwamba nchi hii wengi wana matatizo ya akili. Heslb wanastahili wachapwe bakora nyingi sana kama mvua!
Tanzania inahitaji overhaul ya hali ya juu sana. La sivyo, dharau hizi za viongozi zitazidi kuwafanya wananchi waishi kama mashetani kweli.
Mama Ndali, absolutely sasa kiatu kinakupwaya! Ubabaishaji kwenye elimu ya nchi, Taifa mnaliweka bondi.
Mhe. Rais Magufuli anahitaji kuona Tanzania ya viwanda. Ni jambo jema sana. Ili kuifikia Tanzania ya viwanda, basi tuacheni siasa na ubabaishaji kwenye sekta ya Elimu.
-Kaveli-
Zaidi ya ugunduzi wa moto ambao sina hakika ,hatukuwahi kugundua chochote toka dunia imeumbwa,huwa naumia kusikia babu zetu walibadilisha almasi kwa gorori za mzunguWabongo hatuna akili ndo maana yesu, mtume. Manabii wote ni wazungu amna ata mbongo

ukisikia msomi ni muislam,hata akiongea unajua kabisa huyu msomi..N.B sitaki povuHahahaa hatari sana hawa wasomi wetu.
-Kaveli-
hilo la kubadili almas kwa golori wala siwalaumu,hawakuwa na pa kuzipeleka wala matumizi mbadalaZaidi ya ugunduzi wa moto ambao sina hakika ,hatukuwahi kugundua chochote toka dunia imeumbwa,huwa naumia kusikia babu zetu walibadilisha almasi kwa gorori za mzungu![]()
![]()
![]()
Hilo kweli ni waoga sanaTatizo siyo mvaaji. Tatizo ni mnunuzi wa hicho kiatu. Wewe unavaa kiatu namba 8 sasa unalazimishwa uvae namba 12. Una mawazo mazuri sana ya kukifanya kiatu chako kipungue angalau kifikie namba tisa hivi lakini aliyekununulia hataki ukiguse kwa sababu hajaribiwi na hataki kusikia mawazo yako. Basi unajikaza tu na kushindilia matambara ili uendelee kukivaa na kumridhisha aliyekununulia. Vinginevyo ukiona matambara yana-disfigure vidole vyako na kukufanya utembee kwa shida kama mkoma kiasi cha kuchekwa na jamii basi kirudishe kiatu hicho kwa mwenyewe au kibadilishe namba kutoka 12 unayolazimishwa kuivaa mpaka 8 unayoipendelea bila ruhusa liwalo na liwe!
Wavaaji wa viatu hivi safari hii mtawaonea tu lakini kusema kweli aliyewanunulia wanamwogopa mno na wengi wamevivaa kwa woga na japo wanaumia vidole na miguu wengi wanajikaza tu hivyo hivyo. Safari ni lazima iendelee ati!
mambo
yanayofanyika siku hizi mpaka unaogopaaa,ule msemo wa waswahili kua unaweza kufanya dhambi mpaka shetani akaanza kukuogopa nimeanza kuona enzi hizi...Daaaaahhhh so sad 77000?mi nilifikiri wazee wa kucheza na mtandaoni,kumbe kweliiiiiii