Recent content by Lasthope

  1. Lasthope

    JamiiForums Tanzania RAI - Nguvu ya Hoja?

    Anzisheni tu mgomo wa kutonunua RAI, kwisha habari yeke
  2. Lasthope

    JamiiForums Tanzania Asiyewahi kucheat na ataje jina kamili humu

    Mi sina uhakika na chochote, i believe everything is possible as long as i am still alive though i pray that i wont cheat kwenye ndoa yangu. Pia hebu tuangalie angle ingine, naona maoni ya baadhi ya watu reason yao kubwa ya kutocheat ni ukimwi, vipi kama ukimwi usingekuwepo, ingekuwa tofauti...
  3. Lasthope

    JamiiForums Tanzania Big Brother Africa III

    And to imagine she did all that not for love but for the money and yet she is the first one to go and face the society, ooh, i pity her
  4. Lasthope

    JamiiForums Tanzania Tendwa kumchukulia hatua Mtikila

    siasa za bongo, yani zinachoosha mi nafikiri hakuna hata haja ya kupanga msitari mrefu siku nzima eti napiga kura ili kuwasaidia wezi wakaibe, ni mtazamo tu, hii bongo ustaarabu bado sana.
  5. Lasthope

    JamiiForums Tanzania Don't get married

    very good, at least the son is free to marry now huh
  6. Lasthope

    JamiiForums Tanzania WITO: Bi Sophia Simba Jiuzulu

    Si mi nakwambia the whole issue imekaa kimipasho mipasho tu, i duno wots wrong with us
  7. Lasthope

    JamiiForums Tanzania Tumuombee apone na kurudi salama nyumbani!

    First lady, taratibu hata kama kaenda kubadilisha damu whats the big deal? halafu you dont have any right ya kujua anaumwa nini, ugonjwa ni private matter ya mgonjwa na daktari na ikibi sana basi familia. sas wewe unataka kujua ili iweje? we muombee tu apone
  8. Lasthope

    JamiiForums Tanzania WITO: Bi Sophia Simba Jiuzulu

    Huyu sofia simba mbona ana tabia za kishangingi hivi< mi nakuabaliana yeye ndo ajiuzulu coz alitakiwa awe na heshima japo kidogo kutokana na nafasi aliyonayo ila tabia za kitaarab taarab, uswahili bin mtupu ndo anaonyesha. Ndo maana wanawake tunadharaulika kila siku na kuonekana tuna upeo mdogo...
  9. Lasthope

    JamiiForums Tanzania vipigo CCM! Jamani vipi?

    Jamani ndani ya hiyo UWT kuna majungu ya kufa mtu. Hawa wamama msiwaone wamezeeka hivyo, wana matatizo hawa, kweli vyeo hivi vinawafanya wawe kama wendawazimu.
  10. Lasthope

    JamiiForums Tanzania Sheria ya ajira kwa wazalendo inasemaje?

    Hao uhamiaji unakosema tukatoe taarifa ndo wanakopewa work permit hata office assistants sasa huoni kama ntakuwa napoeza muda wangu? Kama wanashindwa kusema no in justification kwamba tanzania hatujachoka kiasi cha kushindwa kuprovide office assistant, huoni nchi ina ugonjwa mkubwa sana?
  11. Lasthope

    JamiiForums Tanzania Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

    Ni kada wa ccm naye huyo, so waswahili wanasema naye ni mule mule
  12. Lasthope

    JamiiForums Tanzania Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

    We masatu tuambie basi muungwana ana watoto wangapi wa nje? lowasa je, karamagi, na.............
  13. Lasthope

    JamiiForums Tanzania If friendship is like this, then I dont like a friend, what about u?

    Du, he is a genious.
  14. Lasthope

    JamiiForums Tanzania Mtoto kuuma/ kusaga meno usiku

    I just love this forum
  15. Lasthope

    JamiiForums Tanzania Sheria ya ajira kwa wazalendo inasemaje?

    Jamani hii ishu ni serious sana, tena nakushukuru sana we uliye anzisha mada hii, yaani napofanya kazi mimi robo tatu ya wafanyakazi wote ni wakenya.wabongo ni macleaners na housekeepers kasoro wachache wetu ambao hatufiki hata kumi. yaani hadi ofisi assistant wanawatoa kenya, working permit za...
Back
Top Bottom