Mtoto kuuma/kusaga meno usiku. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto kuuma/kusaga meno usiku.

Discussion in 'JF Doctor' started by Kashaija, Sep 15, 2008.

 1. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2008
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nini husababisha mtoto mdogo kuuma meno usiku? (yaani anakuwa kama anatafuna kitu wakati huo hana kitu chochote mdomoni ila unasikia kama meno yanasagana). Je, nini tiba yake?

  Tafadhari Madaktari nisaidie maana hili ni tatizo linalomsumbua sana mtoto wangu wa miaka mitatu.
   
 2. M

  Mahoo Member

  #2
  Sep 15, 2008
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ana umri gani?
   
 3. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2008
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Miaka mitatu. (3yrs)
   
 4. M

  Magehema JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2008
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pole sana, mimi sio daktari kitaaluma ila nina uzoefu kama mzazi kuhusiana na hilo tatizo, mwanao atakuwa na minyoo, mpatie dawa ya minyoo na hilo tatizo litakwisha mara moja.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2008
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ni kweli kabisa

  anza na dawa za minyoo... Asipoacha then angalia mwenendo wake kama kuna dalili yoyote ya msongo nk
   
 6. Lasthope

  Lasthope Senior Member

  #6
  Sep 15, 2008
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  I just love this forum
   
 7. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Magehema this is great kwani i really used to associate this na mambo ya ajabu ... unajua tena ukilelewa na bibi kijijini ... atajuaje kama ni dalili za minyoo other that associating it with superstitions??
   
 8. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2008
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  cant be minyoo, it could be a form of convulsions ie degedege. Consult a dr udescribe vizuri what exactly happens
   
 9. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  The article below may answer your question:

   
 10. Mkimbizi

  Mkimbizi JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2008
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Rafiki yangu anasaga meno toka 1992 mpaka leo na minyoo hana.....
   
Loading...