Asiyewahi kucheat na ataje jina kamili humu

.....kuna wanawake ambao seriuos ..they never cheat...

kunao wanao cheat kwa kulipiza kisasi..

...kunao wanao cheat kwa sababu ya kiuchumi au kisiasa..[cheo]..

LAKINI WENGI WA WANAWAKE AMBAO HAWAJAWAHI KU CHEAT ..they have less condussive environment to cheat..sometimes they may have thought of that but due to tight schedules,strict husband,religion beliefs ets...lock them out,but if they get an opportunity ..THEY MAY CHEAT....

...NI wanawake wachache sana wanaoweza kuvumilia mazingira hatarishi ya kucheat..ie assume unafanya kazi kati ya watu watundu au wanaojua art of seduction ...and wanaume wapo sexy...yet kama hutacheat....HAPO NITAKUPA HEKO....NA KAMA KUNA ALIYE KWENYE MAZINGIRA HAYO ...NA BADO AMESIMAMA ...THEN NAMPA HEKO....

KWA sisi wanaume ...AMBAYE ATASEMA HAJAPATA KUTAMANI ..BASI ANAWEZA KUWA MNAFIKI,,...ssisi wakristo tunasema ..."usimtamani mwanamke asiyekuwa mke wako...""....na kitendo cha kutamani tu ..it amount kuwa umefanya...sasa hapo nani atasimama?????..........ndio maana wenzetu wamekazia ili kuzuia wasitamani wanawake wa watu ..wanawasitiri kwa mavazi...
 
Nafikiri unataka kutuaminisha kwamba ku-cheat ni kitu cha kawaida kiasi kwamba watu wengi wanafanya na hivyo si ajabu-si kweli. Inaonekana mama mia wewe ni noma kwa kuibia, sio tabia nzuri, kama umemchoka mwenzio mwambie mfuate huyo anayekuridhisha. Kuhusu kuonyana humu ni sawa kabisa maana ukweli unabaki palepale kuwa ku-cheat si kuzuri na ma-ukimwi haya.

Akina mama walio wengi hawakubali kuadmit cheating esp.kama ni married, though wanacheat.

kucheat ni kuzini nje ya ndoa. Na vitabu vinasema hata kumtamani mke au mume wa mwezio au kumwaza (fantasize) au ku assume uko nae kitandani ni dhambi ya kuzini. hii ina maana kuwa kuzini -cheating yaweza kuwa kwa matendo au fikra tu. Mpo hapo?
 
wana jf nimefurahi kuona wengi walikuwa makini kuwataja watu na kwa upande mwingine hongereni kwa kusaidia kubadilisha tabia za watu...ila nafikiri tuangalie wenyewe kwanza mwenye uhakika ajawahi kuzini yaani kutoka nje ya ndoa au nje rel ship yake
na aaanze kutaja jina lake na namba zake tuanze kupongezana humubadala ya kukaa na kuapakana huku tukiwa wachafu
nawasilisha

sijawahu kucheat, lakini sitaji jina na contact zangu... Si mahala pake na wewe mama mia ungetaja your full details
 
Waswahili wanasema 'KUOA AU KUOLEWA SIO MWISHO WA KUPENDA'. Hivyo basi kama kupenda baada ya ndoa is in-kwepable, then likelihood ya ku-cheat ni kubwa
 
Waswahili wanasema 'KUOA AU KUOLEWA SIO MWISHO WA KUPENDA'. Hivyo basi kama kupenda baada ya ndoa is in-kwepable, then likelihood ya ku-cheat ni kubwa

mtazamo wako huu, niko kwenye relationship miaka kumi sasa na sijawahi cheat na wala sioni likelihood ya kucheat in my life.
 
mtazamo wako huu, niko kwenye relationship miaka kumi sasa na sijawahi cheat na wala sioni likelihood ya kucheat in my life.

Inawezekana kweli huja-cheat na wala hutakuja kucheat kulingana na mazingira. Cheating have been there, lakini excuse ya kumfanya mtu acheat. Hata mke wa Ceasar alicheat kutokana na mazingira yalivyomvizia. Mtu hunaswa na tamaa zake mwenyewe!!!
 
Asante sana kwa bold sentence hapo juu.

Mazingira yanasingiziwa tu, mostly ni kuendekeza tamaa tu ndio zinapelekea mtu kucheat.
 
sasa mbona wanaosema hawajawahi hawataji majina na kutoa no zao za simu as muanzilishi
wa thread alivyosema!maana tunaona tu mimi bado ila hayo mengine hayatimizwi!
Hapa kiboko!
inanikumbusha yule mama aliyezini watu wakampeleka kwa YESU!walipoambiwa ambae hajawahi awe wa kwanza kutoa jiwe!du walitoka balu!

Yeye mwenyewe anaoekana mtaalam wa kucheat ndio maana hata jina lake hajataja.

Mimi sijawahi lakini siwezi kuhapiza kuwa sitafanya maana hata hao wanaocheat kabla hawajafanya ungewauliza wangeapa kwa miungu na mizimu yote kuwa hawatacheat.

What do mwe want to achieve from this topic any way.
 
What do we want to achieve from this topic any way.
 
Asante sana kwa bold sentence hapo juu.

Mazingira yanasingiziwa tu, mostly ni kuendekeza tamaa tu ndio zinapelekea mtu kucheat.

..mama heshima kwako...mazingira hatarishi huchangia ku cheat...assume unafungiwa BBA ....kwa miezi mitatu na mwanamume ...[si mumeo]...na wala hamuonekani[privacy ipo]...would you still not cheat....

au assume unafanya kazi ofisini sometimes unaingia night,....unapangwa na wanaume....na hao wanaume wanakutongoza bila kukoma naggy zako..would you still stand....you know what will happen ..siku utakayoanguka ..hutaijua...inaweza kuwa scenerio mumeo amekuuzi sana...nyumbani..ukajikuta unapata sympathy ndogo tu ofisini ...ukaanguka....so tukubaliane MAZINGIRA NI FACTOR MUHIMU SANA YA KU CHEAT....

PIA IDLENESS ...KINA MAMA WA NYUMBANI ,..THAT THE BIGGEST FACTOR..AN IDLE MIND IS THE DEVILS WORKSHOP.......
 
Wana jf nimefurahi kuona wengi walikuwa makini kuwataja watu na kwa upande mwingine hongereni kwa kusaidia kubadilisha tabia za watu...ila nafikiri tuangalie wenyewe kwanza mwenye uhakika ajawahi kuzini yaani kutoka nje ya ndoa au nje rel ship yake
na aaanze kutaja jina lake na namba zake tuanze kupongezana humubadala ya kukaa na kuapakana huku tukiwa wachafu
nawasilisha

Yeye mwenyewe anaoekana mtaalam wa kucheat ndio maana hata jina lake hajataja.

Mimi sijawahi lakini siwezi kuhapiza kuwa sitafanya maana hata hao wanaocheat kabla hawajafanya ungewauliza wangeapa kwa miungu na mizimu yote kuwa hawatacheat.

What do we want to achieve from this topic any way.

Good question.
Nimeona ajabu kidogo kuona hii topic inaendelea kupata wachangiaji/wasomaji. Ukiangalia pale chini,

Currently Active Users Viewing This Thread: 35 (9 members and 26 guests)

Kichwa cha habari kinasema: "Asiyewahi kucheat na ataje jina kamili humu"

Can you spot the trigger as to why people would want to read/discuss this issue? :)

.
 
....hata waarabu au wenye msimamo mkali wanapofungia wake zao ndani ..kuwaendea sokoni...na kuajiri mahanithi kama house boys ...yote hiyo ni katika kuwapunguzia wake zao mazingira ya ku cheat.....

Nani ameshafanya utafiti ..kugundua kuwa wanawake wanaoachiwa wajichunge wenyewe wana cheat kuliko wale wanaofungiwa gorofani 24/7
 
phillemon mikael,

Wanaosita kuyakwepa hayo mazingira hatarishi hawamo katika kundi la watu wenye mtizamo wa "sioni likelihood ya ku-cheat in my life"

.
 
Nilika mwaka 1 mzima huku Marekani kabla mke wangu hajaja miaka 10 ilopita lakini bado kwangu haikuwa leseni ya kula uloda nje kwa vibinti chee vya kizungu vilivyojaa kila kona.

Nina miaka 15 katika ndoa yangu na sijawahi kutongoza mwanamke yeyote katika nia ya kutaka kula uloda, hii ni kwa sababu akili yangu haiamini hivyo.

Nilijipiga kufuri mwenyewe mwaka 1991 baada ya kushuhudia marafiki zangu kadhaa wakidhoofika hadi kufa kwa gonjwa la Ukimwi, huku wakiacha fedha magari na nyumba za kifahari.

Nilijiapiza kwamba kuanzia wakati ule na kuendelea sita toka nje ya ndoa yangu kwenda kutuliza hamu kwa kunywea kata isiyo yangu.

Kufanya jambo hilo liwe kitendo cha kweli mimi na G friend wangu ambaye sasa ni mke wangu tulijipeleka wenyewe pale mikocheni tukatolewa visusio vichekiwe kama viko swanu. Majibu yalipo toka kwamba tu wazima wa afya tuliamua kupeleka mahusiano yetu katika daraja la juu kabisa mwaka uliofuata tulifunga pingu za maisha.

Pingu hizo bado zinanifungamanisha na mwenzangu hadi leo.

Ujumbe kwa wale wanao dhani ni vigumu kuwa mwaminifu kwa mwana ndoa mwenzio ni huu.

Tatizo la kutembea nje ya ndoa au kuwa na matamanio makubwa ya kimwili yasumbuwayo roho yako yamo ndani ya akili yako na si nje.
Uzuri au ubaya wa kitu si mwonekano wake tu ila ni pamoja na taswira ijengwayo na kubebwa na akili yako itumikayo katika ulinganifu.
Kitu au jambo litakuwa zuri tu kama akili yako inatoa mwanya kuruhusu mwonekano wa uzuri, kinyume chake hakuna uzuri wowote.
wewe ndiye umesema kweli na maneno yako yatakuwa msaada kwa watu wengi, umenisaidia sana
 
Mi sina uhakika na chochote, i believe everything is possible as long as i am still alive though i pray that i wont cheat kwenye ndoa yangu.
Pia hebu tuangalie angle ingine, naona maoni ya baadhi ya watu reason yao kubwa ya kutocheat ni ukimwi, vipi kama ukimwi usingekuwepo, ingekuwa tofauti na mawazo haya ya sasa? Inaonekana lengo kuu la kutocheat hapa ni kuogopa ukimwi which is good but not the sole vows of marriage. Lets be honest if we want to discuss this
 
Nakutumia Namba yangu ya simu kwenye PM ila umpe wifi nataka nimpeleke kwa karumanzira ukifika uchochoroni .. network haipatikani kabisa ...ukirudi nyumbani ni full communication ... hmmm utafedheheka wewe kila kona wanawake watakukimbia

unaonaje hukumu hii
Lol! hukumu mbayaa sana,haitakiwi kukatiana network huwezi kujua kama nikiwa out of station mtu akibeep nitakuwa sipatikani....
 
mtazamo wako huu, niko kwenye relationship miaka kumi sasa na sijawahi cheat na wala sioni likelihood ya kucheat in my life.
Kwanza kwa taratibu zetu,huwezi kusimama na kusema mimi huwa nacheat au mimi si cheat.
Mtu akifanya hilo basi kuna tatizo.

Wote wanaosema hawajacheat na wale wanaosema wamecheat hatuwezi kuthibitisha kauli zao.

Matokeo ya kucheat or kutocheat yanaweza either kuonekana kwa watoto tunaozaa na kuwalea, mfano una watoto 3 labda mmoja au wote sio wako.Kuna wafupi hapo,weusi wakati kwenu ukoo mzima ni weupe n.k n.k hili LINATOKEA SANA.

Kwa mtu simply kusema hacheat peke yake haitoshi.

Issue ipo kwenye PRODUCTS zake,THOSE FOR SALE AND THOSE FOR CONSUMPTION AS WELL.

KWELI WOTE WANAWEZA WAKAWA WA NDUGU YETU, OKAY FINE,THAT IS FOR SALE .
WHAT ABOUT OTHERS FOR............

SAMAHANI NIMELIFUNGA FUNGA SUALA HILI.
LAKINI MWENYE KUJUA MAANA ,HAMBIWI MAANA.
 
Nasikia EATV kuanzia mwezi Disemba mwaka huu wataanza kuonyesha kipindi cha Cheaters, naona wanaweza kupata pa kuanzia hapa JF...
 
Back
Top Bottom