Hayo yalikuwa mawazo yake na c ya Mungu, viongozi wa dini tuwe makini na kauli zetu, kama ni Mungu kasema na ukiwa na uhakika sema, la sivyo just stay silent au hubiri mambo mengine!
Kweli hili swali inabidi lichukulewe maanani maana hata hasasi zisizo za kiserikali na watanzania kwa ujumla wanaona umuhimu wa katiba mpya.Tunaomba serikali yetu inayotumia jeshi la polisi kama silaha yao waache vitisho mara moja.Unity 4ever
Kwa kweli taifa limebaki jina kutokana na walio na madaraka kuendesha kama vile sisi ni wanyama, nataka kusema wananchi tuinuke na kuwa majasiri ktk kutetea haki na kukataa uongozi uliopo.Tumechoka kusikia vilio vya wanafuzi, walimu, madaktari, wafanyabiashara, wafanyakazi na wakukulima kwa...
Nzuri hiyo, ila mbona nilisoma gazeti la jana, walisema hataweza kufanya mkutano kutokana na ujio wa prince na mkewe?Limefikia wapi swala hilo jamani, au atafanya kwa siku ya leo tu, maana alipanga afanye mkutano kwa siku tano mfululizo
Hatuangalii zaidi cv, bali tunaangalia zaidi utendaji.Mbona Balali CV yake ilikuwa nzuri (PHD holder) lakini alichofanya ni cha kihistora hadi kwa wajukuu zetu?@Muro
Mawaziri na Manaibu Mawaziri Vivuli
OFISI/WIZARA
WAZIRI KIVULI
NAIBU WAZIRI KIVULI
Ofisi ya Waziri MkuuWaziri Mkuu na TAMISEMI
Freeman Aikaeli Mbowe
Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Silinde David Ernest
TAMISEMI
Sera, Uratibu na Bunge
Raya Ibahim Khamis
Vicent Kiboko Nyerere
Elimu
Uwekezaji na...
Kiukweli ni kwamba ktk mjadala huo, seikali ilipata tabu sana katika kusema ukweli kuhusu milipuko hiyo ya mabomu.Hongera sana Mr Selasini kwa maswali mazuri ya kutaka kujua ukweli upo wapi.
Inawezekana wewe c mtanzania mpenda haki na usawa.Hivi ulifuatilia mwanzo mwisho yalifanya mpaka yakatokea?Nawunga mkono chadema maana wako kwa ajili ya maslahi ya umma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.