JE, WAFAHAMU MAWAZIRI KIVULI WA CHADEMA?Una maoni gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JE, WAFAHAMU MAWAZIRI KIVULI WA CHADEMA?Una maoni gani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LASSYSON2010, Feb 26, 2011.

 1. LASSYSON2010

  LASSYSON2010 Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mawaziri na Manaibu Mawaziri Vivuli
  OFISI/WIZARA
  WAZIRI KIVULI
  NAIBU WAZIRI KIVULI​
  Ofisi ya Waziri MkuuWaziri Mkuu na TAMISEMI
  Freeman Aikaeli Mbowe
  Kiongozi wa Upinzani Bungeni
  Silinde David Ernest
  TAMISEMI
  Sera, Uratibu na Bunge
  Raya Ibahim Khamis
  Vicent Kiboko Nyerere
  Elimu
  Uwekezaji na Uwezeshaji
  Esther N. Matiko
  Ofisi ya RaisUtawala Bora
  Said Amour Arfi
  Mahusiano na Uratibu
  Rev. Israel Y. Natse
  Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  Suzan A. Lyimo
  Ofisi ya Makamu wa RaisMuungano
  Pauline P. Gekul
  Mazingira
  Grace S. Kiwelu
  Wizara ya FedhaKabwe Zuberi Zitto
  Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni
  Christina Lissu Mughwai
  Wizara ya Mambo ya Ndani ya NchiGodbless Lema

  Wizara ya Katiba na SheriaTundu Lissu
  Mnadhimu Mkuu wa Upinzani
  Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa KimataifaEzekia D. Wenje

  Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga TaifaJoseph Selasini
  Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na UvuviSilvester M. Kasulumbayi

  Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na TeknolojiaProf. Kulikoyela Kahigi
  Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya MakaziHalima James Mdee

  Wizara ya Maliasili na UtaliiRev. Peter Msigwa
  Wizara ya Nishati na MadiniJohn John Mnyika

  Wizara ya UjenziEng. Salvatory Machemuli
  Wizara ya UchukuziMhonga Saidi Ruhwanya

  Wizara ya Viwanda na BiasharaLucy F. Owenya
  Wizara ya Elimu na Mafunzo ya UfundiChristowaja Mtinda

  Wizara ya Afya na Ustawi wa JamiiDr. Mbasa Gervas
  Wizara ya Kazi na AjiraRegia Mtema

  Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na WatotoNaomi A. Kaihula
  Wizara ya Habari, Vijana na MichezoJoseph O. Mbilinyi

  Wizara ya Ushirikiano wa Afrika MasharikiMustapha Akunaay
  Wizara ya Kilimo, Chakula na UshirikaOpulukwa Meshack

  Wizara ya MajiHighness S. Kiwia
   
 2. Muro

  Muro Senior Member

  #2
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tupe CV zao utakuwa umekamilisha habari,hatuwajui zaidi ya kuwaona bungeni tu.
   
 3. LASSYSON2010

  LASSYSON2010 Member

  #3
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatuangalii zaidi cv, bali tunaangalia zaidi utendaji.Mbona Balali CV yake ilikuwa nzuri (PHD holder) lakini alichofanya ni cha kihistora hadi kwa wajukuu zetu?@Muro
   
 4. m

  mzambia JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 882
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Sijui lengo la hii thread mpaka sasa hivi?
   
Loading...