habari za intellegensia zitasema ni CDM
nakuunga mkono kabsa jeshi kazi yake si kutuliza ghasia ni kuua na kumaliza vita. hata kubembeleza watu huwa hawajui. na ukimuita mjeda aingie mtaani yeye kwake anaweka akilini kuwa anaenda kupanbana na adui kuua kwake iatkuwa jambo la kawaida sana. hivyo si busara kuwaruhusu kuingia mtaaniWatakuwa wamfeanya kosa kubwa sana kama wameamua kutumia jeshi liwasaidie polis.....huilo kosa alilifanya Mubarak
BREAKING NUUZ: Polisi wapiga Risasi wananchi Mbeya washindwa tuliza Vurugu.. Sasa zimefika uyole wananchi wanashusha Bendera za CCM
![]()
majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo hii akiwa kapigwa kichwani. Hadi sasa kuna majeruhi wanne wa risasi, wawili kichwani, mmoja kwenye paja na mwingine mkononi
![]()
Mmoja wa majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo, Abel Mwalukali akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mbeya baada ya kupigwa risasi kwenye mkono.
![]()
Polisi wakijaribu Kuzuia Ghasia katika eneo hilo na kufukuza Wamachinga
![]()
Baadhi ya wananchi wakiwa wameokoka katika eneo hilo
![]()
Wamachinga Mbali mbali wakikimbia katika eneo la tukio wakati wa machafuko hayo yamepamba moto
![]()
Watu Mbali Mbali wakiwa wanakimbia ili kujiokoa na Hatari katika eneo hilo
Picha zote na Mpiga picha wetu maalum
Juzi nilianzsiha thread ya JK'S options wakaifuta,maybe kuna ambao mungempa ushauri.Waliifuta tu ki dictator bila hata kuniambia why the did it.Nina amini kabisa kuwa kuna mods ambao hawana hekima,just kama viongozi wetu na washauri wao...Kufanya mambo kwa kukurupuka.Noambeni rasmi mtu anayefahamiana na JK amuombe anipe majukumu ya kuwa mshauri wake wa kisiasa! Ninaamini nina hekima kuliko waliopo kwa kweli.
Unless......
Mbeya Yetu angalia hapo uone vijana wanavyo wafukuza polisiIsije ikawa MNAKUZA hali halisi? au ?
Mkuu kwani ulikuwa hujui mkoloni na mnyonyaji wa TZ ni CCM?Tuliyokua tunayashuhudia kule Soweto Africa ya kusini sasa ndio haya hapa Tanzania? kumbe mkoloni sio lazima awe mzungu?