Mtoa mada ni mwanaharakati mzuri sana hawezi kosa!
Mimi na members wengine 5 wamenihakikishia kuwa watakuwepo!
Hivyo kwa habari ya updates za picha, sauti na Maandishi mtashindwa wenyewe!
Kuna MwanaArusha mmoja, Mfanyabiashara maarufu, alitutafuta wanaJF arusha hadi kutupata, akatuambia kuwa anafurahishwa sana anapoona matukio ya kisiasa yanavyorushwa live kutoka Arusha, na kwa kuonyesha kufurahishwa na hilo akasema kila kukiwa na tukio basi atatoa laptops na kamera zake kuwezesha matukio kufika dunia nzima!
Tunamshukuru sana mzee huyu...members wa Arusha wanamjua vyema!