Polisi: Maandamano ya Novemba 26 marufuku!

Polisi: Maandamano ya Novemba 26 marufuku!

dude lenye makengeza linatumika kudidimiza demokrasia na haki ya mtanzania
wananchi naomba msitishike na dude lenye makengeza kudidimiza demokrasia na haki ya mtanzania kwa visingizio vya alshababu, maandamano lazima yawepo!south africa yamepamba moto na bado hakuna alshabab, hizo ni fikra mgando na tacts za kudhoofisha na kupotosha uma!kamwe tusirudi nyuma acha alshabab watuue!
kati ya watu watakaoleteleza mauaji ni dude lenye makengeza linaitwa kova aka tv huku wenye remote wako pembeni na kuliacha lifanye kazi ka robot, haki ya nani lazima tumuakikishie kuwa nguvu ya uma haizuiliki

nchi yetu, umasikini wetu na unyonge wetu ni moja ya vitu vitatupa msukumo wa kwenda mbele na sio mamluki wanaotumiwa na walanguzi wa nchi kudidima haki na kuanisi katiba ya nchi hali wanajitapa eti ni nchi ya demokrasia!
 
mimi naomba magaidi waipige kweli tanzania kwani tumezoea kuwasingizia na polisi wanaomba magaidi waje tanzania.

mungu naomba kama wanawasingizia magaidi , naomba magaidi wapige kweli ikulu kwani ata kuwasingizia magaidi kila siku atuwatendei haki ni bora wapige kweli
 
Kama kuna mtu ana utaratibu wa maandamano ya nchi nzima airushe hapa, hachaneni na KOVA maana ni Kibaraka wa CCM! Leteni ratiba ya Kila sehemu ambako maandamano yatakuwa. Mimi niko huku kigoma, sijui naanzia wapi? Haya ndo mambo ya msingi ya kudiscuss na si akina KOVA, wao wameshiba , sisi tuna kiu na njaa ya tanzania yenye neema kwa wote na si kwa magamba waliokithiri kutunyonya na kutoa vitisho vya AL sababu kupitia kwa KOVA. Shame on them! Rusha utaratibu wakuu, tuko pamoja!
 
mimi nitaenda iwe iweje na watu ea kinidhamini( kunitafutia bail nimesha waandaa) kwasasa siogpi virungu wala mabomu ya polisi
 
tena ingekuwa trick maridawa, angefanya kama alivyokamata mtoto wa gaddafi,

walioandamana arusha juzi kumpokea lema al shaabab walikuwa likizo, walipoandamana machinga mbeya juzi al shaabab walikuwa likizo, mkusanyiko wa kikao cha ccm dodoma al shaabab wapo likizo, jk kukutana na wazee wa ccm sabasaba ground tena huko temeke al shaabab walikuwa likizo! mikusanyiko inayoendelea kuadhimisha miaka 50 ya uhuru mamboleo al shaabab wapo likizo, siku ya tar. 9 dec uwanja wa taifa watakuwa likizo....lakini tarehe 26 maandamano ya wananchi kupinga utaratibu ulotumika kuandaa mswada wa katiba al shaabab watakuwa kazini...well n' good. msg sent!

Kwa kuongezea tu, hiyo hiyo tarehe 26/11 kutakuwa na tamasha la vinega(antivirus) pale ustawi wa jamii kijitonyama na wakati huo huo kutakuwa na tamasha la intercollege bash pale leaders club, kama hiyo haitoshi siku hiyo hiyo kutakuwa na mchezo wa kombe la challenge kati ya kilimanjaro stars vs amavubi ya rwanda uwanja wa taifa, mchezo utakaotanguliwa na mechi ya kwanza tarehe 25/11 kati ya zanzibar na uganda!! Sasa hapo ndipo utaona ni kwa namna gani jeshi la polisi hasa kova anavyotumiwa vibaya na ccm.

Polisi hawana sababu yoyote ya msingi ya kuzuia watu kuandamana kwa amani, hawawezi kutushawishi kwamba kuna tishio la al shabab wakati matukio mengine ya mikusanyiko yanaendelea lakini hili la kuipinga serikali wanaliwekea mizengwe. Ningewaomba sana jukwaa la katiba safari hii hakuna kulegeza kamba, kuandamana ni lazima!! mbwai mbwai tu.
 
Kwani alshabab walishawahi kukataza watz wasiandamane? Na hivi, kote wanakofanya ugaidi wao huwa kuna maandamano?
 
mimi nginependa kujua hivi haya maandamano yalikuwa yamepangwa kuanzia kukutana wapi kwa hapa dar?
 
Kweli hili swali inabidi lichukulewe maanani maana hata hasasi zisizo za kiserikali na watanzania kwa ujumla wanaona umuhimu wa katiba mpya.Tunaomba serikali yetu inayotumia jeshi la polisi kama silaha yao waache vitisho mara moja.Unity 4ever
 
Hivi hii serikali wanajua wanasema nini? Wanautangazia ulimwengu kuwa Tanzania sio salama, Al-Shaabab wako kila mahali kiasi kwamba hata mikusanyiko ya watu imekatazwa! Viongozi wa Kenya wanahaha kila kona CNN, BBC etc kueleza dunia hali ni shwari pamoja na kwamba wako vitani na Al-Shaabab. Sisi tumeamua kutangaza hatari. Ni kweli Tanzania iko kwenye hatari? Balozi za nje wakiweka maneno ya KOVA kwenye website zao kukataza watu wao wasije Tanzania nani wa kulaumiwa? Maige na Mama Nagu wa uwekezaji wanasemaje?

Fantastic, I support the above statement by 100%
 
Maandamano yaliyotaka yafanywe na asasi zisizo za kiserikali kudai marekebisho ya mswada wa katiba yamekwaa kisiki kikuu cha alshababu, Mpaka nawasilisha nikuwa kutokana na Tishio la alshabab hakutakuwepo kwani ni gharama na kazi kubwa kuhakikisha usalama katika maandamano yao.

Atakaye andamana kukutana na nguvu ya dola.


Naomba kuwasilisha


My Take:

Mbona mkuu wa kaya alikaa na wazee

hivi hawa alshabab wanashambulia kwenye mikusanyiko ya watu wangapi?nina uhakika hayo maandamano hayatakuwa na mkusanyiko wa zaidi ya 20,000,kama kweli hawa alshabab wanatarget large population je mechi ya chad na taifa staz ilikuwa na watu wangapi?na ni kwanini watunyime raha wakati wagomvi wao ni kenya?hivi ingekuwa kipindi uchaguzi kampeni sisingefanyika?
Alshabab itatumika sana katika kipindi hiki cha kudai katiba wakichoka watasema boko haramu.
 
Wanajamii naomba muelewe kuwa huyu aliye zuia maandamano ndiye al shabab,kwani hamjui kuwa ccm na policcm na tbccm ndo al shabab wenyew.

Wana arakati hima tuondoe al shababccm wanatumaliza
 
Tatizo lingine kova ni makengeza yake hawezi kutofautisha alshababu na raia wema.

Tena afadhali alshababu wangekuja wakalipua hao mafisadi wanao kaa dodom kuibia nchi.
 
Nilidhani tumeshaondoka kwenye dhana za uongo na vitisho...kumbe bado tuko pale pale? Halafu sidhani kama haya maandamano yalikuwa ya shari!
Vipi tena kuhusu hizo Show? Nijuavyo mimi, Show ya Sugu ilikuwa ya kuwatetea wasanii waliotupwa na hawana pa kusemea. Na Cloudz ambao ndio vinara wa unyonyaji wa wasanii wetu kupitia SM nao wakaandaa yao siku hiyohiyo wakiwahusisha DMX na Fabulous ili kuifunika hiyo ya Sugu. Sasa hapo napo Al-Shabaab wangekuja kuwapiga kina nani?
Tanzania yangu hii....!
 
nyie watajeni tu alshabaab kila siku.......siku wakichoka mtawatambua wale jamaa ni nouma........:laser:
 
hizo sherehe za miaka 50 ya uhuru zitafanyika au ?
 
Anatumika leo lakini
Kuna siku yeye mwenyewe atatamani kuanzisha maandamano
 
Back
Top Bottom