KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,314
Hii na sawa na mtu amekufa labda kwa uzembe wa dereva au dr, afu tunatabiri eti Mungu alimpenda zaidi. Huo nao ni utabiri ka wa mzee upako.
Mchungaji Anton Lusekelo au kwa jina maarufu la Mzee wa upako tarehe 31 januari 2013 ,ndani ya kanisa lake alisema Raila Odinga ndiye angeshinda uchaguzi wa Kenya na Uhuru Kenyatta asingeshinda labda asubiri miaka ijayo na si kwenye uchaguzi huu.
Aliongea maneno haya kwa msisitizo na kurudiarudia sana na kwa mujibu wake utabiri huo alikuwa ameoteshwa na mungu wake.
Mkuu waache wafu wazikane wao kwa wao!!!!!Na sasa tutamwaminije kama Mungu wake sio sawa na yule Mungu wa Majirani zetu(Wa..i.....s....lamu) ambaye hutetewa kwa kuuwa Watu wasio na Hatia huku yeye (Mungu"MFU"akishindwa Kujitetea)!!
Yeye Asubirie tu siku ya Hukumu akatowe Hesabu zake!
!
Mchungaji Anton Lusekelo au kwa jina maarufu la Mzee wa upako tarehe 31 januari 2013 ,ndani ya kanisa lake alisema Raila Odinga ndiye angeshinda uchaguzi wa Kenya na Uhuru Kenyatta asingeshinda labda asubiri miaka ijayo na si kwenye uchaguzi huu.
Aliongea maneno haya kwa msisitizo na kurudiarudia sana na kwa mujibu wake utabiri huo alikuwa ameoteshwa na mungu wake.
Hizi ndizo siku za mwisho,kutakuwa na watabiri wa uongo,ndo hao sasa.Kama si kweli akanushe,tulishamzoea
.
Tofautisha kwanza kile ulichoita tofauti kati ya unabii na utabiri. Mbona hujafanya hivyo katika hii post yako? Hebu rudia kuisoma kwa makini.
.
Mchungaji Anton Lusekelo au kwa jina maarufu la Mzee wa upako tarehe 31 januari 2013 ,ndani ya kanisa lake alisema Raila Odinga ndiye angeshinda uchaguzi wa Kenya na Uhuru Kenyatta asingeshinda labda asubiri miaka ijayo na si kwenye uchaguzi huu.
Aliongea maneno haya kwa msisitizo na kurudiarudia sana na kwa mujibu wake utabiri huo alikuwa ameoteshwa na mungu wake.
Siku hizi naona kama yuko katika payroll ya chama kingine!
Mkuu waache wafu wazikane wao kwa wao!!!!!