Recent content by la chelsea

  1. la chelsea

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Mbeya yanakimbia sana

    Kilimanjaro express
  2. la chelsea

    JamiiForums Tanzania Wapinzani unganane. Ni kweli umoja ni nguvu utengano ni udhaifu

    Hii haiwezi kutokea na ndani yake kuna vyama vinapandikizwa
  3. la chelsea

    JamiiForums Tanzania Remix ya wimbo wa Diamond (kimya)

    Dah nmemwelewa Kapita mlemle
  4. la chelsea

    JamiiForums Tanzania Gwajima ndani ya studio za Clouds

    Wamekata matangazo
  5. la chelsea

    JamiiForums Tanzania Soko la kahawa, zabibu ndani na nje

    Mkuu salama,nipo Dodoma namiwka kama 3 nafanya biashara ya zabibu...ZABIBU inapatikana sana Dodoma tena kwa misimu miwili!!! Kama anahitaji mzigo wa ZABIBU,tuzungumze!
  6. la chelsea

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jana mechi mbili zimeatishwa mbet mojawapo reading vs Fulham na Brighton vs Cardiff Mie mwenyewe nasubiri kama watarudisha
  7. la chelsea

    JamiiForums Tanzania Pesa ya Magu haitaki dharau za kijinga. 2017 kila Mtanzania atakuwa na nidhamu ya pesa

    Kweli nimekuelewa bora tujiandae kisaikolojia maana du
  8. la chelsea

    JamiiForums Tanzania Mke kuitwa mama

    Mie naona imekaa poa sana tu
  9. la chelsea

    JamiiForums Tanzania Serikali inajua hiki tunachofanyiwa na Halmashauri ya Wilaya Kibaha

    Nadhani kuna pesa inahitajika idara Fulani haraka aidha kati ya afya na elimu haswa ndio maana wamewashitukiza na jamaa kakazia lipa afanyie kazi komaeni tu
  10. la chelsea

    JamiiForums Tanzania Zenji electronics and decore

    Mkuu vipi kuhusu swala la ushuru bandarini
  11. la chelsea

    JamiiForums Tanzania UTAMU WA MOSHI

    Hiyo kitu ya tukuyu bhana
  12. la chelsea

    JamiiForums Tanzania No comment

    Huyu mahakani jela miezi sita
  13. la chelsea

    JamiiForums Tanzania No comment

    Huyu haifiki SAA kumi tutakua tunaongea mengine siku ya jumanne
  14. la chelsea

    JamiiForums Tanzania Nahitaji watoto wa nguruwe mbegu ndefu

    Habari wa ndugu, Niko Dodoma nahitaji watoto wa nguruwe mbegu ndefu kwa mawasiliano unaweza kunichek kwa namba 0753697838
  15. la chelsea

    JamiiForums Tanzania Masomo ya kilimo na ufugaji

    0673697838 add hii #
Back
Top Bottom