House girl anahitajika, mwajiri na eneo la kazi ni Dar es Salaam.
Sifa za aina msichana anaehitajika;
~Awe na tabia nzuri na atokee kwenye familia inayoeleweka
~Awe na umri kuanzia miaka 19 hadi 26
~Akubali kufanya kazi na watu wenye imani tofauti na yeye
~Mshahara ni makubaliano
Kama una...
Rais alikosea sana pale aliposhindwa kuvunja baraza la mawaziri. Serikali hii watu ambao hawana uwezo hata robo kuendelea kuongoza ni waziri mkuu na waziri wa fedha, hawa watu ni waongo na waliojawa na tamaa, dharau na wasiojali wananchi. Wanatamka vitu ambavyo havitekelezeki, wachumia tumbo...
Dereva alipewa ushauri akapuuza, baada ya kupata leseni ya kuendesha lile basi ilitakiwa afanye yafuatayo;
~major engine overhaul, ilitakiwa abadilishe kila kitu kuanzia PM, IGP, Ministers na wengine ili apate timu nzuri ya kuendana nayo
~ilitakiwa basi lipigwe rangi nyingine ili kuendena na...
Hello Nyakitagara, ushauri wangu kwako, ongea ni fundi wako achore mchoro apeleke tanesco baada ya hapo atafute survey kutoka tanesco kwa ajili ya ukaguzi. Baada ya hapo fuatilia control number ili ufanye malipo utafungiwa umeme ndani ya mwezi mmoja.
Ni muhimu afunge bracket, na awe na cut out...
Lazima aonje jiwe la moto, kipindi chake aliumiza watu wengi sana. Ngoja aone umuhimu wa uhuru wa kujieleza maana alivyotufanyia kwa kweli sina hamu nae hata robo. Angelazwa hata jela ama atekwe na wasiojulikana ili aone Watanzania tulipitia kipindi gani enzi ya uongozi wake.
Hii hali ni kuvumiliana, mwanamke ana nafasi kubwa sana kubadilisha tabia ya mwanaume. Kama huyo Dada angajipanga vizuri hayo makazi yangebadilika ndani ya mwaka, huyo Dada alikuwa na nafasi nzuri ya kumshauri huyo Jamaa namna ya kuboresha makazi ya wazazi wake.
Maisha ni kuvumiliana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.