Msaada kuhusu app for call recorder

B51

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
569
781
natanguliza shukran wadau.
Kuna namba naiona kwenye simu ya shemeji/wifi yenu mara kwa mara. Haijaseviwa ila inaonekana imepiga na mara moja moja imepigiwa.

So kuna app gani naweza ku'install kwenye simu ya wifi/shemeji yenu ili niweze kujua maongezi yanayoendelea? Shemeji/wifi yenu sio mwerevu Sana kupekua simu. Anachojua ni kupiga, kupokea, kuchat whatsapp tu.

Comments ziwe fupi fupi tafadhali
 
Mfanyie suprise mnunulie xiaomi, indian version au chinese version ingia setting kisha uweke irecord kila kitu
Uwe umeruhusu mi account isave hizo call recording na uwe na access na hiio mi account.
APPS NYINGI ZA ANDROID NI MIYEYUSHO
 
Ahsante mkuu
 
So kuna app gani naweza ku'install kwenye simu ya wifi/shemeji yenu ili niweze kujua maongezi
Unachojaribu kufanya ni kosa kisheria.

Baada ya huo utangulizi, basi vizia na install mspy app ( hii app inauzwa sio bure)

Utapata kila taarifa unayotaka kuipata

Ingia kwenye site yao ujionee uwezo wa hii APP
Code:
https://www.mspy.com/
 
mkuu tufanyie mpango kuna mtu namtafutia sababu
 
mkuu tufanyie mpango kuna mtu namtafutia sababu
Ni hatua mbili za kufanya
#1. Nunua app husika (kodisha kwa muda unao hitaji) - Utakuwa tayari umepata LOGIN info za mspy, Kuwa nazo standaby hizo login.

#2. Fanya timming uipate simu ya mhusika kwa dakika 2 tu - utadownload mpsy, install, login.

Hapo umemaliza kazi.

Maelekezo zaidi soma kwenye website yao mspy.
 
Mimi naona jambo zuri ungelimuuliza tu kuhusu hiyo namba. kwa sababu kuna wanawake ni wajanja huwa wanaenda kwa mafundi software anamwambie nifutie kitu chochote ambacho sijaweka kwa mkono wangu na hii inatokana na wewe kushika shika simu yake hiyo inapelekea kutia shaka juu yako coz nae ni binadamu

Kwahiyo utafeli huwa napokea wanawake wenGi sana ofisini ili wajue wanapelelezwa na wenza wao
 
Mkuu una muda wa kupoteza sana aisee. Unashindwa kutumia muda huo kwa mambo yako ya msingi unabaki kulifuatilia jitu jinga kama hilo. Kama unahisi anakusaliti achana nae.
 
Ndugu usiwe na wasiwasi kama shemeji hajakwambia, huyo mtu ni mimi, ni mambo ya kazi tu na taarifa za kikoba chetu..
 
Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya kuwinda mwizi wako jiulize maswali haya
1.Ukijua kuwa anacheat una uwezo wa kumuacha?
2.Je wewe hujawahi kucheat? kama ndiyo ni bora umpige beat tu aachane na huyo mtu kuwasiliana.
3. Je unaweza ku hold temper yako? Coz wengi wameharibu maisha yao kwa kuwinda matokeo ambayo hawawezi kuya handle.kua, depression,stress n.k
 
Mkuu unachokitafuta utakipata....

Ukishakipata utarudi tena hapa kulia kulia...

Hio ni wanafanya wale ambao wanatafuta sababu za kuachana na wapenzi wao,,,, kama huna jeuri ya kumuacha achana na huo Ujinga... Jenga taifa
 
Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya kuwinda mwizi wako jiulize maswali haya
1.Ukijua kuwa anacheat una uwezo wa kumuacha?
2.Je wewe hujawahi kucheat? kama ndiyo ni bora umpige beat tu aachane na huyo mtu kuwasiliana.
3. Je unaweza ku hold temper yako? Coz wengi wameharibu maisha yao kwa kuwinda matokeo ambayo hawawezi kuya handle.kua, depression,stress n.k
# 1 NAWEZA
# 2 SIJAWAH MCHEAT TANGU NIMUOE.
# 2 NAWEZA KUHOLD TEMPLE YANGU.
 
Mkuu ukijua ukweli utaupokea. Cyo tusikie taarifa za mauaji kwa sababu za "WIVU WA MAPENZI" kumbe ni ww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom