Kijana mkoani Kilimanjaro auawa kwa panga kwa madai ya kutaka kushiriki tendo la ndoa na mke wa mtu

Kwamba uko tayari kushuhudia mke wako akitombwa kwenye kitanda chako. Anageuzwa chuma mboga, popo kanyea mbingu, itege inase!!!
Siyo mke WAKO tena kama masela wanakula mzigo. Kuna kitu kinaitwa DIVORCE kipo kwa ajili ya kesi kama hizo. Mwanamke ni binadamu mwenye akili timamu na siyo mali yako ukishaanza kuwa na mindset hiyo huwezi kuingia kwenye maugomvi kisa mke au mchumba.
 
A
Wanawake wenu waliutangazia ulimwengu kuwa kazi hamuwezi, hivyo inabidi wapate huduma kutoka nchi jirani.
Aah!kumbe ww sio ke mkuu?lkn c unajua ni vibaya mwanaume kusemea vitu vya wanawake tena vya ndani kiasi hicho....jarbu ku act as a gentle na si kila kinachosemwa na mwamamke ni cha kuamin
 
Sema mi nawaambia kijana jifunze teknik za kujilinda...
Sa kijana kashindwa ku Chat panga mpaka anakatwa katwa...

Vijana ukiona una mbato pasipo kwako na wewe hakikisha unajifunza Majudo mianguko

Usikubali mtu mmoja anakukata kata na mapanga

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
A

Aah!kumbe ww sio ke mkuu?lkn c unajua ni vibaya mwanaume kusemea vitu vya wanawake tena vya ndani kiasi hicho....jarbu ku act as a gentle na si kila kinachosemwa na mwamamke ni cha kuamin
Dunia inatambua wanaume wa Rombo hamna kitu. Na awezaye kuthibitisha hilo ni wanawake wa Rombo, na walishathibitisha hivyo wala haihitaji mjadala.
 
Mkazi wa kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, Juvenal Claudi (20) ameuawa kwa kukatwa katwa na mapanga baada ya kufumaniwa akitaka kufanya mapenzi na na mke wa mtu.

Taarifa zinadai kuwa kijana huyo aliyeuawa alikuwa akichati na mke wa mtu ambapo baadaye mume wa mwanamke huyo, Riziki Shirima (22) alidaka simu ya mkewe na kukuta meseji za mapenzi.

Baada ya kukuta meseji hizo, mwanaume huyo aliweka mtego kwa kuendelea kumtumia meseji kijana huyo aliyeuawa, akijifanya yeye ndio mwanamke huku akimtaka kuja nyumbani jambo ambalo alifanya hivyo.

Baada ya kijana huyo kufika nyumbani alianza kushambuliwa kwa kukatwa mapanga na baadaye kufariki dunia.

Kamanda wa Polisi Mkoani wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio ambapo amesema tukio lilitokea usiku wa kuamkia Desemba 4 na kusema baada ya mwanaume huyo kufanya mauaji alijisalimisha mwenyewe polisi.

"Ni kweli hili tukio limetokea katika kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo ambapo mwanaume alimfumania mkewe nyumbani kwake akiwa na huyu kijana aliyeuawa wakitaka kufanya mapenzi," amesema Kamanda Maigwa

Kamanda Maigwa amesema jeshi la polisi linaendelea kumshikilia muuaji baada ya kujisalimisha mwenyewe polisi.

Chanzo cha Habari ni Mwananchi online
mke nae kazomewa na wamama wenzie kajinyonga kaokolewa akaona isiwe kesi akaamua kupiga toti ya muparaxon
 
Hapa kapata faida gani? Yeye na marehemu wako sawa, hawatampata tena huyo bibie.
 
Back
Top Bottom