Je, Waziri Mkuu anajitenga na Serikali?

Je, Waziri Mkuu anajitenga na Serikali?

Kila nchi hupitia Changamoto tofauti kwa Nyakati Tofauti, Katika Nchi yetu kuliwahi kuwa na Gumzo Masuala Ya Tozo, Tukaja Suala La Umeme na Maji na Sasa Suala la Upandaji wa Mafuta Kidunia.

Katika Masuala Yote haya Waziri Mkuu Hukuwahi Kutoka mbele na Kusemea au Kutetea Masuala haya Hadharani Kuonekana yupo pamoja na Serikali Inayoendeshwa na Rais Samia. Amekuwa akimlaghai Rais Kwa Kuonekana anafanya vikao vya ndani Kutatua Matatizo ila Ukweli Hukuwahi Kutoka nje na Kusemea Serikali na Hatua anazochukua kama kiongozi wa Mawaziri katika kila sakata linalotokea nchini.

Wizara ambayo ipo chini yako ndio kinara wa kuwa na Kiwango cha Chini cha utendaji, Kuna Suala la mwenge lipo kimya husemi kitu (na Taarifa juu ya Hujuma za Mbio za Mwenge unazozitengeneza wakuu wa wilaya na mikoa ambayo tayari Mwenge umekwisha kupita wanafahamu jinsi hali ilivyo) lakini pia kuna suala la Sensa nalo upo kimya hili ni jukumu lako chini ya sera na uratibu.

AMEZOA KUFANYA KAZI KWA MAZOEA YA KUENDESHWA.
Katika suala ambalo linanipa ukakasi ni kwamba vikao unavyofanya kumuonesha Rais Unamsaidia ni vya uongo, umezoea kuendeshwa kama ulivyokua ukiendeshwa awamu iliopita lakini huku Unatoenesha wazi huna uwezo wa kifikra wala kuwa kiongozi wa Mawaziri na hizi Hujuma kwa Rais.

Katika awamu ya tano ya uwaziri mkuu wake, mh majaliwa, kiukweli (kwa mtazamo wangu), alikuwa kama mtu mwenye wasiwasi mno asiyejiamni sana. Alizoea kufokewa na kutishiwa 'nitapiga mpaka shangazi zako' hakuwa ni mtu wa kujiamini n.k.

Awamu hii ya sita mambo yamebadilika mambo mengi huanzia bungeni kwanini majaliwa anashindwa kuyadhibiti kuanzia huko ni mtu wa maigizo anayetaka kuonekana ana mikono misafi anataka kuonekana serikali inatengeneza matatizo na kuyatatua. Hii si awamu ya ndiyo mzee ni awamu ya kuonyesha uwezo.

ANAYEISHI KINAFKI
Uislamu unaelekeza mnafiki ana sura tatu kwanza akihaidi atimizi, muongo tatu ameficha uzuri kwenye ubaya kufanya kihiyana. Sura aliyoitengeneza na kutoa matamko kwenye mambo madogo ni sura ya unafki mbona hatumuoni akizungumzia masuala ya sensa, mbona hazungumzi masuala ya mwenge, haonekani kwenye kuzungumzia bei ya mafuta serikali imesimama wapi. Waswahili wanasema kama umeamua kuuza utumbo usiogope nzi. Majaliwa anataka kujitengeneza kuwa yeye ni msafi siasa za janja janja kama za RUTO.

MTENDAJI MKUU WA SHUGHULI ZA SERIKALI NI NANI KAMA SI WAZIRI MKUU?.
Wakati huu ambapo tupo kwenye kupanda kwa bei za mafuta na nishati nyinginezo waziri mkuu yupo kimya na lawama zote ni kwa Waziri wa nishati,

Matatizo ya kukosekana kwa maji lawama ni kwa Rais na waziri wa Maji, Yakifungiwa magazeti, vifurushi vikipanda lawama ni kwa Rais na waziri wa habari. Waziri Mkuu anasimamia jambo gani? badala yake yupo kushanga kupanda kwa bei ya mchele ambao unalimwa hapa nchini kwamba hajui athari ni suala la kupanda kwa bei ya mafuta ndiyo kuna athiri uzalishaji hivyo bei kupanda?

Ukitazama mfumo huo aliojiwekea anataka kuonekana msafi kuna ajenda nyuma ya pazia na genge lake. Kama Huna Uwezo Jiuzulu kama Una Ndoto za Urais Jiuzulu, Usiharibu nchi kwa kutaka Rais Aonekane Mbaya na Wewe Mzuri kwa Kuweka Mikono yako Safi.

Tunafahamu kuna baadhi ya wabunge Livingstone Lusinde (kibajaji), Luhaga Mpina Kuanza kupishana kwa kauli ndani ya chama ni mgogoro inayotengenezwa na genge la Waziri mkuu. mtifuano wa hoja zinazo kinzana katika siasa ya CCM. Katika awamu ya tano hatukuwahi kusikia kauli za kushangaza kutoka kwa wabunge kutupia lawama Mawaziri siku zote maswali ya kitaifa bungeni hujibiwa na Waziri mkuu ambaye ni mtendaji mkuu wa Serikali.

WAVURUGAJI WA AWAMU YA SITA
Wamepanga kuleta mtikisiko wa siasa za kistaarabu zilizoanza kutamalaki na kwa kuanza kuchokonoa na kuharibu taswira ya mwenyekiti. Mawaziri wanatukanwa na wabunge kwa kashfa za hovyo Waziri Mkuu hatoi uelekezi wa ajenda kama nchi tunasimama wapi?

Mh, Rais tunakuomba muangalie Waziri wako mkuu kwa jicho la tatu kama anakutosha.
Anafanya vizuri sana PM Kassim Majaliwa. Sio rahisi kumpata PM kama Majaliwa. Wapenda utajiri wa kuiba pesa au kutumia mianya pekee ndio hawamuelewi PM.
 
Mi nilimtoa maana kwenye kifo cha Magufuli.. inaonekana hata hawakumuambia kinachoendelea kuwa jamaa kafa, yeye akajimaliza kwa kusema"Rais yupo anachapa kazi, Mnataka aonekane kariakoo?" Alijishushia heshima sana
Siku moja kabla ya kutangazwa Magufuli kufa, Raisi Samia alisema Raisi Magufuli anawasalimu sana. Sasa ikiwa Mama Samia alijuaa hivyo pia, kwann waziri mkuu asijue hivyo pia?
 
Umeleta tu ubabaishaji na hisia zako hapa. Hoja zako hazina base wala ushahidi. You deserve to be ignored.
 
uchochezi
 
Rais alikosea sana pale aliposhindwa kuvunja baraza la mawaziri. Serikali hii watu ambao hawana uwezo hata robo kuendelea kuongoza ni waziri mkuu na waziri wa fedha, hawa watu ni waongo na waliojawa na tamaa, dharau na wasiojali wananchi. Wanatamka vitu ambavyo havitekelezeki, wachumia tumbo, wapo kwa ajili ya familia zao na siyo wananchi. Ilitakiwa Rais amfute kazi waziri wa fedha pale aliposema tuhamie Burundi, pia waziri mkuu tangu enzi na enzi ni muongo sana, hajiamini hata kidogo na ameunda tume nyingi sana pasipo kutoa majibu, amebaki waziri kivuli
 
Kwa selikali hii, PM nafikiri ndio kiongozi wa juu pekee kwa sasa aliyebeba tumaini la wananchi.
Naona mnatafuta wa kumuangushia jumba bovu baada ya kushindwa kutatua changamoto za watanzania.Waondoeni tu wote ili mbaki walamba asali,fitina za nini!.
 
Siku moja kabla ya kutangazwa Magufuli kufa, Raisi Samia alisema Raisi Magufuli anawasalimu sana. Sasa ikiwa Mama Samia alijuaa hivyo pia, kwann waziri mkuu asijue hivyo pia?
Sasa kama viongozi wawili wakuu wa juu wanafichwa mambo ya msingi kama hayo, maana yake walikuwa wanadharauliwa na wasaidizi wa Rais. Makosa yote yalisababishwa na Magufuli, aliwaaminisha watu yeye ndo kila kitu. Mungu mtu.
 
Mm nimekurekebisha uliposema waziri mkuu aliongopa, ndio nikakueleza alichosema majaliwa ndio alisema Samia.
Alafu unapaswa ufahamu sio kwamba walikua hawajui, Bali hivyo ndio inatakiwa ili kupunguza presha katika nchi
 
Rais alikosea sana pale aliposhindwa kuvunja baraza la mawaziri. Serikali hii watu ambao hawana uwezo hata robo kuendelea kuongoza ni waziri mkuu na waziri wa fedha, hawa watu ni waongo na waliojawa na tamaa, dharau na wasiojali wananchi. Wanatamka vitu ambavyo havitekelezeki, wachumia tumbo, wapo kwa ajili ya familia zao na siyo wananchi. Ilitakiwa Rais amfute kazi waziri wa fedha pale aliposema tuhamie Burundi, pia waziri mkuu tangu enzi na enzi ni muongo sana, hajiamini hata kidogo na ameunda tume nyingi sana pasipo kutoa majibu, amebaki waziri kivuli
unasema mwigulu na majaliwa wamejaa tamaa na hawajali wananchi, sawa. Hebu sasa nieleze ni mawaziri wapi ambao wanajali wananchi na ambao hawana tamaa?
 
Wafini ni wengi Duniani.

Ungeanza na Rais mwenyewe. Mambo hayaendi Sasa ni mwendo wa kutafuta nani atolewe kafara za kipuuzi.
 
unasema mwigulu na majaliwa wamejaa tamaa na hawajali wananchi, sawa. Hebu sasa nieleze ni mawaziri wapi ambao wanajali wananchi na ambao hawana tamaa?
Akikutajia anetumia Milioni 6 kwa siku kukagua zoezi la mitaa nijurishe.
 
Ukimwangalia PM kwa jicho la tatu utaona wazi ama hakubaliani sana na jinsi mambo yanavyoenda kwenye hii serikali, au hakuna uwajibikaji wa pamoja.

-Wakati CJ (Chui Jike)anashadadia kwa furaha fulani juu ya bidhaa kupanda bei...PM amekuwa anatoa kauli za kujaribu kuzuia wale walanguzi kupandisha bei kiholela.

-Cj ..anasema na bado mafuta yataendelea kupanda(kama vile anafurahia tunavyoungua)....PM anasema serikali itaangalia namna ya kupambana na athari za mfumko wa bei za mafuta.
Wewe ndio nimekuelewa, huyu mleta mada anataka kuturudisha utumwani.
 
Kila nchi hupitia Changamoto tofauti kwa Nyakati Tofauti, Katika Nchi yetu kuliwahi kuwa na Gumzo Masuala Ya Tozo, Tukaja Suala La Umeme na Maji na Sasa Suala la Upandaji wa Mafuta Kidunia.

Katika Masuala Yote haya Waziri Mkuu Hukuwahi Kutoka mbele na Kusemea au Kutetea Masuala haya Hadharani Kuonekana yupo pamoja na Serikali Inayoendeshwa na Rais Samia. Amekuwa akimlaghai Rais Kwa Kuonekana anafanya vikao vya ndani Kutatua Matatizo ila Ukweli Hukuwahi Kutoka nje na Kusemea Serikali na Hatua anazochukua kama kiongozi wa Mawaziri katika kila sakata linalotokea nchini.

Wizara ambayo ipo chini yako ndio kinara wa kuwa na Kiwango cha Chini cha utendaji, Kuna Suala la mwenge lipo kimya husemi kitu (na Taarifa juu ya Hujuma za Mbio za Mwenge unazozitengeneza wakuu wa wilaya na mikoa ambayo tayari Mwenge umekwisha kupita wanafahamu jinsi hali ilivyo) lakini pia kuna suala la Sensa nalo upo kimya hili ni jukumu lako chini ya sera na uratibu.

AMEZOA KUFANYA KAZI KWA MAZOEA YA KUENDESHWA.
Katika suala ambalo linanipa ukakasi ni kwamba vikao unavyofanya kumuonesha Rais Unamsaidia ni vya uongo, umezoea kuendeshwa kama ulivyokua ukiendeshwa awamu iliopita lakini huku Unatoenesha wazi huna uwezo wa kifikra wala kuwa kiongozi wa Mawaziri na hizi Hujuma kwa Rais.

Katika awamu ya tano ya uwaziri mkuu wake, mh majaliwa, kiukweli (kwa mtazamo wangu), alikuwa kama mtu mwenye wasiwasi mno asiyejiamni sana. Alizoea kufokewa na kutishiwa 'nitapiga mpaka shangazi zako' hakuwa ni mtu wa kujiamini n.k.

Awamu hii ya sita mambo yamebadilika mambo mengi huanzia bungeni kwanini majaliwa anashindwa kuyadhibiti kuanzia huko ni mtu wa maigizo anayetaka kuonekana ana mikono misafi anataka kuonekana serikali inatengeneza matatizo na kuyatatua. Hii si awamu ya ndiyo mzee ni awamu ya kuonyesha uwezo.

ANAYEISHI KINAFKI
Uislamu unaelekeza mnafiki ana sura tatu kwanza akihaidi atimizi, muongo tatu ameficha uzuri kwenye ubaya kufanya kihiyana. Sura aliyoitengeneza na kutoa matamko kwenye mambo madogo ni sura ya unafki mbona hatumuoni akizungumzia masuala ya sensa, mbona hazungumzi masuala ya mwenge, haonekani kwenye kuzungumzia bei ya mafuta serikali imesimama wapi. Waswahili wanasema kama umeamua kuuza utumbo usiogope nzi. Majaliwa anataka kujitengeneza kuwa yeye ni msafi siasa za janja janja kama za RUTO.

MTENDAJI MKUU WA SHUGHULI ZA SERIKALI NI NANI KAMA SI WAZIRI MKUU?.
Wakati huu ambapo tupo kwenye kupanda kwa bei za mafuta na nishati nyinginezo waziri mkuu yupo kimya na lawama zote ni kwa Waziri wa nishati,

Matatizo ya kukosekana kwa maji lawama ni kwa Rais na waziri wa Maji, Yakifungiwa magazeti, vifurushi vikipanda lawama ni kwa Rais na waziri wa habari. Waziri Mkuu anasimamia jambo gani? badala yake yupo kushanga kupanda kwa bei ya mchele ambao unalimwa hapa nchini kwamba hajui athari ni suala la kupanda kwa bei ya mafuta ndiyo kuna athiri uzalishaji hivyo bei kupanda?

Ukitazama mfumo huo aliojiwekea anataka kuonekana msafi kuna ajenda nyuma ya pazia na genge lake. Kama Huna Uwezo Jiuzulu kama Una Ndoto za Urais Jiuzulu, Usiharibu nchi kwa kutaka Rais Aonekane Mbaya na Wewe Mzuri kwa Kuweka Mikono yako Safi.

Tunafahamu kuna baadhi ya wabunge Livingstone Lusinde (kibajaji), Luhaga Mpina Kuanza kupishana kwa kauli ndani ya chama ni mgogoro inayotengenezwa na genge la Waziri mkuu. mtifuano wa hoja zinazo kinzana katika siasa ya CCM. Katika awamu ya tano hatukuwahi kusikia kauli za kushangaza kutoka kwa wabunge kutupia lawama Mawaziri siku zote maswali ya kitaifa bungeni hujibiwa na Waziri mkuu ambaye ni mtendaji mkuu wa Serikali.

WAVURUGAJI WA AWAMU YA SITA
Wamepanga kuleta mtikisiko wa siasa za kistaarabu zilizoanza kutamalaki na kwa kuanza kuchokonoa na kuharibu taswira ya mwenyekiti. Mawaziri wanatukanwa na wabunge kwa kashfa za hovyo Waziri Mkuu hatoi uelekezi wa ajenda kama nchi tunasimama wapi?

Mh, Rais tunakuomba muangalie Waziri wako mkuu kwa jicho la tatu kama anakutosha.

MaCCM hata wakiuana mimi naona poa tu.
 
Hicho chama kimebobeba kwenye hila, kila wakati hila ndio msingi wa kuendesha mambo yake.
 
Back
Top Bottom