Recent content by kwassa kwassa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Mbeya yanakimbia sana

    Mkuu. Kuna ile Happy Nation. nyuma iliandikwa Sauti ya Manka. Dereva alikua anavaa kapero. Ile ilikua komeshaaa..... Na Happy nation nyingine iliandikwa Bussines Class ndo zilikua Bus zangu nikiagzwa Mbeya Kwa wakat huooo. Company etu ipo huko kikaz. Saa kumi upo Mkoaaa. Sent using Jamii...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye picha ya msanii Pig Black/P1 black

    Black Rhyno, Simple X na Donkoli ndo wadogo wa Prof J.
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi pombe ilivyo niaibisha..

    Bora angekula ganja. Kama unavofanya ww aisee. Angetuliaa
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi pombe ilivyo niaibisha..

    Kuna clip nlishawahi kuiona mtu anacheza kamatia chini ukumbini nahisi utakua wewe jamaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ras simba tuhurumie

    Mara nyingi watu kama wewe ndio mnao amini et Rasta ni uhuni. Yakupasa ufungue fikra zako kutoka katika utumwa wa fikra...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini hospitali zina mchoro na picha ya nyoka?

    Ile ni Alama ambayo ukiwatafuta waJuvi wa mambo watakwambia maana yake. Sh 500/= ya noti ina Alama kama hiyo. Je Jero inatumika katika mambo ya Uponyaji?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Bashe hataki tujenge reli kwa fedha zetu!!

    Labda umechangia wewe peke ako. Mkuu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Bashe hataki tujenge reli kwa fedha zetu!!

    Bashe ni wakupuuziwa tu. Ataturudisha nyuma.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

    Nashkuru kwa maelezo mazuri. Ningependa kujua pia Tarrif 4 na Tarrif 0 hizi zipo kwa wateja wa matumizi gan Mkuu?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

    kwanza nianze kwa kuwapongeza Tanesco kwa Huduma nzuri. mwaka Jana huku kwetu mlifanya mabadiriko ya Mita kwa sisi watu wa mita za kawaida tukawekewa mita za Luku. sasa Tatizo ni kwamba karibu wateja wote tumewekwa katika kundi la viwanda yaan Tariff 1 na wengi wetu hapa tuna matumizi ya kawaida...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Pugu: Rais Magufuli azindua ujenzi wa Reli, asema dereva mzuri hasikilizi maneno ya watu

    Mnaweza msirudi tuka ahirisha safari. Jishkilie tuu mkuu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mauaji Rwanda 1994

    tupe hiyo japo Kwa ufupi mkuu.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji awasili Polisi kituo cha Kati kuitikia wito wa RC Makonda

    Nlipo anza tu kusikia taarifa zake nkajua AMEPANIC. hakuna cha maana alicho kiongea. #manenoYaMkosaji. Hana tofaut n Ule Mlimbwende. Kutaja majina ya watu.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Unaifahamu imani ya rastafarian?

    Nuff Respect
  15. K

    JamiiForums Tanzania Jombi, Jambazi aliyetisha wa Kimataifa aliyeishi Tanzania

    Niliwahi kusikia Jombi alipigwa Sindano enye viambata Sumu iliyo muua taratibu. Sababu alifanya matukio ya hatar kinoma noma.
Back
Top Bottom