Villky_J
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 492
- 610
- Thread starter
- #41
Wewe mm mtoa post niko level ya PHD ila pombe ikiamua kukuaibisha unaweza zima hata kwa bia mbili..halafu mm nilikuwa sinywi bia nilianza na whsky..ndo zilizoleta balaaPombe zina wa2 wake bwana mtu anashusha kreti hatikisiki akinyanyuka toi karudi ameanza kreti ya pili ila ukisubiri mpaka cku ya harusi utaumbuka




