mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,704
- 9,077
Ili uweze kununua unit 1 kwa tzs 100 lazima matumizi yako kwa mwezi yasizidi units 75Miye natumia sometimes 5 kwa mwezi mwenzangu akisafiri. Sasa hiyo 0-75 ni kwa mwezi au mwaka?
Ili uweze kununua unit 1 kwa tzs 100 lazima matumizi yako kwa mwezi yasizidi units 75Miye natumia sometimes 5 kwa mwezi mwenzangu akisafiri. Sasa hiyo 0-75 ni kwa mwezi au mwaka?
Cnusn. N. Nn bn nn nn n BNC skjlksdsdljjjjjsjjjjßsssdddßßkkkssjsjsgssjsskdsassjssssksssjßsjsasjßssjjssasjßlsjßjsjsjssjßsdsjssjßassjsjssfsjsjssfsjßßsßsjßsdlssjksjsdlashjsjssfjsjdsldjsddksdjjssjsffjssdsldsadjjfalfjfsdalfjddafdjdafjsjjsadjsddaljdnjdslsjsfgadjgsgjsfcgcjsfslfjsdaljfddaldasajdjfddalsfjffakdjfalfnffdllgfjsfsglsjdjhslfßgssdssddddhfßjßssssssfjsjbbbñg nnn n. NnAhsante mkuu.
Naomba kuuliza kwa wateja wapya mnatoa luku za aina gani ni zile mnazotundika LUKU kwenye nguzo na mteja anabakiwa na remote ya ku recharge?
Kama ni hivyo mbona wengine luku wanawekewa kwenye nguzo na wengine hawawekewi? je ni mteja anaomba au ni vigezo gani mnatumia kwa sasa. Ahsante
Ahsante mkuu.
Naomba kuuliza kwa wateja wapya mnatoa luku za aina gani ni zile mnazotundika LUKU kwenye nguzo na mteja anabakiwa na remote ya ku recharge?
Kama ni hivyo mbona wengine luku wanawekewa kwenye nguzo na wengine hawawekewi? je ni mteja anaomba au ni vigezo gani mnatumia kwa sasa. Ahsante
Zipo tofauti kutegemea na unataka single au three phase na pia inategemea na umbali kutoka ilipo nguzo hadi kwenye nyumba husikaGharama za kuvuta umeme ni shingap
Mkuu Tarrif 1 sio ya wateja wa viwandani bali ni wateja wa kawaida. Tariff 2 na 3 ndio za wateja wakubwa (viwanda na mashine kubwa kubwa)kwanza nianze kwa kuwapongeza Tanesco kwa Huduma nzuri. mwaka Jana huku kwetu mlifanya mabadiriko ya Mita kwa sisi watu wa mita za kawaida tukawekewa mita za Luku. sasa Tatizo ni kwamba karibu wateja wote tumewekwa katika kundi la viwanda yaan Tariff 1 na wengi wetu hapa tuna matumizi ya kawaida yale ya Tariff 4 au Tariff 0. Hii inaweza kua imekaa aje Tanesco??
Sio kila anaekuja kwako akijidai ni fundi kutoka Tanesco ni mkweli. Kuna watu wanaitwa VISHOKA.Tanesco mko vizuri, lakini baadhi ya mafundi wenu wanatuibia
PM kama uko serious naweza kukuelekezanaweza kupata namba yako ya simu personal au email? ninahitaji ushauri wa kina maana nina tatizo kubwa.
Mmmmmh braza hiyo bei uliyoandika ni kwa rupia au kwa tanzania sh maana kaaahYes izo mita zipo. Ila sio jukumu la tanesco kuzifunga. Zinapatikana maduka ya vifaa vya umeme. Bei yaweza fikia sh. Elfu 80 kwa mita moja.
Zipo tofauti kutegemea na unataka single au three phase na pia inategemea na umbali kutoka ilipo nguzo hadi kwenye nyumba husika
Nashkuru kwa maelezo mazuri. Ningependa kujua pia Tarrif 4 na Tarrif 0 hizi zipo kwa wateja wa matumizi gan Mkuu?Mkuu Tarrif 1 sio ya wateja wa viwandani bali ni wateja wa kawaida. Tariff 2 na 3 ndio za wateja wakubwa (viwanda na mashine kubwa kubwa)
Mkuu hilo swali nalo unauliza Tanesco
Tanesco mnahitaji kubadilika na kwenda na teknolojia ya kisasa zaidi. Leteni mita zinazotumia SIM card. Itasaidia uthibiti na ununuzi wa umeme.
Elfu 70000 mpaka 100000,na ukitaka kuigundua chukua sumaku igusanishe nayo ukiona imenata kwenye sumaku iyo itakuwa feki
Mita inayotumia SIM card itatumia.mawimbi ya minara ya simu. Hivyo utakuwa na uwezo wa kununua luku na umeme ukaingia moja kwa moja kwenye mita bila kwenda kubonyeza bonyeza mita, kucheki balance, kukuarifu pale umeme unapopungua, hata kuhamishia SIM ya luku yako kwenye luku nyingine. Maana yake luku za sasa ni analogue. Tunahitaji digital.Hebu tiririka zaidi nimeipenda hii
Hiyo haitakuwa earth rod. Kitakuwa kitu kingine.What if mfanyabiashara ameigiza ametengeneza ya zege kutia uzito na kuipakaza shaba na hiyo nayo haishiki sumaku
Kwanini kusitafutwe kipimo maalumu ambacho Tanesco watakitumia kupima ubora wa hicho chombo