BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Mjini pagumu jamani....mwacheni
Najua kwa vyovyote una wadau humu kwahiyo watakupa taarifa ama la Pengine hata wewe mwenyewe ni member hapa
Ni wazi kwamba biashara ni matangazo na kwa sehemu kubwa ya matangazo yetu yamejaa uongo usio na uhalisia TUNAVUMILIA...!!!!! lakini uongo wako pls umepita viwango vya kawaida vya kudanganya
Una matangazo kwenye radio za kidini kila asubuhi kwamba kozi yako ya kufundisha kiingereza kwa mfumo wa kipekee inayochukua miezi mitatu ni shilingi laki tano za kitanzania na kama mwanafunzi atakayeshindwa kuongea kiingereza kwa kipindi hicho utamrudishia ada yake yote...!!! Ni ubunifu na ni tangazo zuri lililoteka wengi japo halina uhalisia hata chembe...!!!! Kufaulu ama kufeli kwa mwanafunzi kuna mengi ndani yake
Kero yangu hii hapa
Kama ada ni laki tano lakini katika tangazo lako unasema atakayelipa leo atalipa laki mbili mbili tu!!!! Uhalisia uko wapi hapo? Hiyo ni discount gani isiyoleta mfanano? Tangazo kila siku ni hilo hilo mpaka sasa watu wanajua fika kwamba kusoma lugha ya kiingereza kwako si laki 5 bali ni laki 2...
Sitaki kujadili wafaulu wako kwakuwa ni janga la kipekee lakini pls punguza skonyo kwenye matangazo yako
Haa Ras Simba Ni Mjanjamjanja Kama Janjajanja Primary School
Hivi Mh Mnyaa Siku Alipoomba Kura Kwenye Bunge La East Africa Pale Mwisho Alikikoroga Kuliko Hata Ras Simba.
Na Yule Aliyesema Frent Foji
Huyu Habari Zake Zimeizuiliwa Ila Kwanini Mnaziweka Frent Foji

Kamwe hauwezi ukajua kiingereza kwa siku 56 jambo hili ni Utapeli tu!!!
hio ni biashara private,hutaki nenda kwa mwingine,lol
Mimi nadhani hawa watu wanamaanisha kujua kusalimiana,kutaja ulikotoka au unakokwenda na kununua bidhaa kwa kiingereza ndani ya siku 56!Kamwe hauwezi ukajua kiingereza kwa siku 56 jambo hili ni Utapeli tu!!!
Labda kama hivyo English huwezi ijua mpaka usome Grammar ili uwe na uwezo wa kuwa competence na sio performance ukawa unaropoka tu bila kuchunga Sheria za Lugha ya watu sasa uyo Ras kwa siku 56 atakufundisha nini kweli mpaka uijue Grammar?Mimi nadhani hawa watu wanamaanisha kujua kusalimiana,kutaja ulikotoka au unakokwenda na kununua bidhaa kwa kiingereza ndani ya siku 56!
Labda anammezesha mlegwa memory card yenye 1TB ya madikshonari yote au yenye ubongo wa malkia![]()
ukimaliza kozi ukimwambia hujajua anakuuliza
what is your name ?? ukijibu my name is .. ..
anakwambia umejua kiingereza sirudishi ada
Mara nyingi watu kama wewe ndio mnao amini et Rasta ni uhuni. Yakupasa ufungue fikra zako kutoka katika utumwa wa fikra...Sijawahi kukutana na Ras mwenye akili sawasawa katika tembea na maisha yangu yote popote pale nilipokuwa, hivyo sishangai hayo Mazingaombwe ya Kisanii ya huyo Ras Simba wenu.
Ila nao wale wanakomoa kwa ada khaaaBritish Council ndio suluhisho pekee, pale kama ukitoka kapa basi kweli hata ukizaliwa upya ulaya hutojua.
Kuna haja ya kubaki na Kibantu changu.....nimeridhika nacho....
Ada kiasi gani? nasie la saba tunakubaliwa?British Council ndio suluhisho pekee, pale kama ukitoka kapa basi kweli hata ukizaliwa upya ulaya hutojua.
Haa Ras Simba Ni Mjanjamjanja Kama Janjajanja Primary School
Hivi Mh Mnyaa Siku Alipoomba Kura Kwenye Bunge La East Africa Pale Mwisho Alikikoroga Kuliko Hata Ras Simba.
Na Yule Aliyesema Frent Foji
Huyu Habari Zake Zimeizuiliwa Ila Kwanini Mnaziweka Frent Foji