Bashe hataki tujenge reli kwa fedha zetu!!

Bashe hataki tujenge reli kwa fedha zetu!!

Huu ni mchango wa Bashe mbunge wa nzega.

Hataki serikali itumie fedha za makusanyo kufanyia miradi na mfano alioutoa ni ujenzi wa Reli ya Kati ambayo imekuwa ni kiunganishi kikubwa kati ya mikoa ya mashariki na magharibi .
Badala yake anataka serikali itumie PPP.
Fedha za ndani alipe watumishi kwanza
 
JPM keshawaambia yeye ni dereva makini. imbeni, lieni, tukaneni, sinzieni fanyeni lolote. ila uhakika ni kwamba atawafikisha, tena atawafikisha salama salimini. kwa hiyo, tulizeni mzuka, hata mkilalamika vipi, mtafika tuu, 2025 sio mbali sana panapo majaaliwa.

hayo mengine mnapoteza muda tu bure, JPM hakwamishwi, mtakwama nyie msioona hata zuri moja la serikali ya CCM.

kama vipi mi nawaomba UKAWA MFE kwanza, siku ikiingia serikali ya UKAWA madarakani (nadhani mwaka 3000) ndio mfufuke pengine serikali yenu itafanya mnavyotaka nyie.

UKAWA wakubwa nyie.
 
Huu ni mchango wa Bashe mbunge wa nzega.

Hataki serikali itumie fedha za makusanyo kufanyia miradi na mfano alioutoa ni ujenzi wa Reli ya Kati ambayo imekuwa ni kiunganishi kikubwa kati ya mikoa ya mashariki na magharibi .
Badala yake anataka serikali itumie PPP.
Huyo Alshababi anakaribia kuwa kumbikumbi.
 
Huyo muhamiaji haramu hana cha kupoteza akiwa hapa Tz, anakaa na wahujumu wenzie ili kuiharibu nchi yetu
 
*Why are blacks not wealthy*

An interview with a Jewish leader about Blacks.

INTERVIEWER:
Why are blacks so behind Economically?

JEWISH LEADER:
The only thing blacks understand is Consumption.

Blacks don't understand the importance of creating and building wealth.

Ukisoma comment za watu humu utaona jinsi gani haowaoni uwekezaji unaofanywa na serikali kua ni wa muhimu all they talk & suggest is how to consume our tax collections ,mara madawa(which they want for free or the cheapest amount possible) while afya kwa inchi za wenzetu ni very expensive,huna bima itakula kwako & Elimu bure and the likes...and for that tutaendelea tu kua Taifa maskini hakuna namna until we change our mind set...
 
Huyo jamaa anapendelea PPP ili waendelee kutupiga km wanavyotupiga TICS pale bandarini,mwendo kasi,NSSF na miradi yao ya Nyumba and the likes...Jamaa wanaipenda sana miradi ya PPP ili watupige afu gharama ziwe juu wao wale faida
 
Huu ni mchango wa Bashe mbunge wa nzega.

Hataki serikali itumie fedha za makusanyo kufanyia miradi na mfano alioutoa ni ujenzi wa Reli ya Kati ambayo imekuwa ni kiunganishi kikubwa kati ya mikoa ya mashariki na magharibi .
Badala yake anataka serikali itumie PPP.
yuko sahihi...
 
Tumenunua zile takataka za kupaa angani na tumeona ilivyotugharimu mpaka sasa.

Kwa sasa bei ya vyakula ipo juu, naona ni vyema hizo pesa ziwekezwe kwa wakulima ili kupunguza ukali wa maisha.
Hivi wewe ndg yangu utakuwa lini, kwani kuchangia hapa ni lazima, kama huna wazo la maana kwa nini usikae kimya kwanza nina wasiwasi na uraifa wako. Watanzania tukiwa na mawazo mgando ya aina yako hatuwezi kufika pipote.
 
Tumenunua zile takataka za kupaa angani na tumeona ilivyotugharimu mpaka sasa.

Kwa sasa bei ya vyakula ipo juu, naona ni vyema hizo pesa ziwekezwe kwa wakulima ili kupunguza ukali wa maisha.
Wamekusanya bilion9 ndani ya miezi6 unaona takataka
 
Labda alitaka serikali ikope kwa Rostam.
nasikia jamaa ana mkwanja balaa, eti ndiye aliyepewa tenda ya kuingiza vipuri, na mitambo mikubwa kwa ajili ya migodi karibu yote nchini. Sina hakika kama taarifa hizo ni za kweli!
 
Mna fedha gani nyie, wahisani wamejitoa ndio maana budget inayomalza muda wake imetekelezeka kwa 34% tu, Wahisani wamegoma kutoa mipunga yao kwenye nchi ambayo Wananchi wanashinda na njaa ila Faru Fausta anakula msosi wa Milioni 64 kwa Mwezi.
Baada ya kukosa hela za wahisani ndio wamepandisha makodi kila mahala ili angalau wapate pate hela za madafu matokeo yake kila kitu sokoni kimepanda bei, Aliingia Sembe ilikuwa inauzwa 1200/- leo hii imepanda kwa 100% Sembe inauzwa 2400.
Hahahaaa...Mwafaaa
 
Back
Top Bottom