Hivi wewe na hao majambazi wenzako mnapoua raia wasio na hatia na kuwapora mali zao nani mbona huwa hamuwaiti watetezi wa haki za binadamu? au kwenu binadamu ana tafsiri tofauti?
Pumbafu sana wewe kwanza umetoka lini gerezani fisimaji wewe?
Mimi nakubaliana na wewe kwa msingi kwamba Ndg mtoa mada tangu mwanzo amekuwa akiwaponda sana EL na Malechela kwa kigezo cha mwalimu alisema. Kama Mwl alisema na ikathibitika hivyo ni hatua gani iliyochuliwa?
Inavyoonekana mtoa mada ana ajenda yake ambayo nalazimika kuamini kwamba kwa mada...
Weledi uko api hapo? Hivi kwanini huyu ndugu polisi amuadhibu mtuhumiwa badala ya kumkamata, kukusanya ushahidi dhidi yake, kumpeleka mahakamani na akamtolee ushahidi madhubuti ili haki itendeke?
Hata katika ushikaji wa chombo cha kurusha vitu vizito hakuna weledi kwani yale yale ya Mwangosi...
Vijana hizo roho za kwa nini mpaka lini? Mh Selasini amesema ukweli wake wewe unapata shida gani? Kama serikali ya Mh Kikwete imefanya jambo jema waache wasifiwe, tatizo nini vijana mnapenda kulaumu tu?
Mbona hizo barabara alizojenga Mh Kikwete ndizo mnazitumia kufanyia maandamano yenu? Au...
Usafiri wa treni jijini Dsm utasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza tatizo la usafiri hasa muda wa asubuhi na jioni endapo tu utakuwa ni mpango endelevu. Haya ndio tunaita maendeleo, yaani katika hatua moja kwenda hatua nyingine iliyo bora zaidi. Chonde chonde Mh. Mwakyembe kesho msije sema mara...
Kuhusu kubeba hiyo mizigo hakika with me no problem at all - ni moja ya namna ya kuonesha upendo kama mmoja wa wachangiaji alivyosema hapo juu. Lakini mbona dada anatabasamu zuuuuri wakati kaka hana tabasamu usoni. Unafikiri anawaza nini? ..... wallet yake ha haa haa
Issue hapa si "kama polisi wote duniani wanaweza au hawawezi kushindana na wanajeshi". Suala la lililopo mezani ni aibu ya JWTZ kumpiga askari wa trafiki akiwa kazini anaongoza magari. Hoja yangu ni kwamba haikuwa sawa kwa akari hao wa JWTZ kufanya walichokifanya kwa sababu sababu jam...
huo ni upumbavu wenu nyie mnaoendesha bodaboda. Wengi wenu hamjui sheria za barabarani, mnabeba abiria zaidi "mshkaki" ,hamna leseni ndio maana mmekuwa chanzo kikuu cha ajali nchini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.