hivi ritz hunaga likizo.....mbona wafanyakazi wengine wanapewa likizo na nape?....au kanuni ni double standard?.....
ndio kazi ya upinzani, barabara kujengwa ni jukumu la serikali, ikijenga kwa nini isifiwe. Isipojenga lazima ikumbushwe, huyu selasini nae sijui kimemkuta nini leo.....
huyu mkulu raha yake ni kumsifia tuu ili afurahi na kucheka cheka .... selasini amemzogoa wote mkaingia king bila kujua
narrow thinking.....
nyie pro-chadema jf lini mlipewa likizo na dr slaa.
Napinga utamaduni huu potofu.JK alitoa hizo fedha mfukoni mwake?
-Hiyo ni kodi ya watanzania pamoja na wananchi wa Rombo na wanastahili huduma bora.Barabara ya Rombo siyo hisani ilikuwa ni huduma muhimu na ya lazima
-Sipingi yeye kumpongeza Rais lakini tusiwe chanzo cha raia kuamini kwamba huduma kama barabara ni hisani.Huku ni kufifisha elimu ya uraia na harakati za wananchi kujua haki zao
-Wananchi wa Rombo wanastahili kujua mbele ya Rais kwamba barabara ile ni matokeo ya kodi zao hivyo wafanye kazi kwa bidii na Rais atakiwe kuomba msamaha kwa serikali kuchelewesha barabara muhimu kama hiyo
Ni haki yetu wananchi wa Rombo kuwa na barabara na ni wajibu wa derikali kujenga barabara as long as wanakusanya kodi.Tena Rais ameonyesha dharau kwa kutoonyesha hata courtesy ya kuomba msamaha kwa kutucheleweshea barabara kama vile sisi ni raia wa Kenya.
Kuna pongezi zingine ni kejeli,TBC wawe makini.Nilisikia siku moja mikoa ya kusini akisomewa risala na kumsifu kwa kuwaondolea umasikini.Basi kwa siku mbili TBC hiyo ilipewa nafasi ya kwanza.
Nyie Pro-Chadema JF lini mlipewa likizo na Dr Slaa.
Mkuu Ritz
Naona Pro -Chadema wanalazimisha likizo wanaogopa mawe; vitu unavyowashushia vinawaingia akilini!
Chama
Gongo la mboto DSM
Hongera Mheshimiwa Joseph Selasin, Mbunge wa Rombo kwa kuwa muwazi kuhusiana na utendaji murua wa Rais JK kwa kuwezesha ujenzi wa barabara jimboni mwake.
Amediriki kutamka mbele ya Rais JK kuwa "Ingekuwa amri yake barabara husika ingeitwa Jakaya Kikwete Road"
Source: Taarifa ya HABARI TBC, Saa 2 Usiku, October 30, 2012
Napinga utamaduni huu potofu.JK alitoa hizo fedha mfukoni mwake?
-Hiyo ni kodi ya watanzania pamoja na wananchi wa Rombo na wanastahili huduma bora.Barabara ya Rombo siyo hisani ilikuwa ni huduma muhimu na ya lazima
-Sipingi yeye kumpongeza Rais lakini tusiwe chanzo cha raia kuamini kwamba huduma kama barabara ni hisani.Huku ni kufifisha elimu ya uraia na harakati za wananchi kujua haki zao
-Wananchi wa Rombo wanastahili kujua mbele ya Rais kwamba barabara ile ni matokeo ya kodi zao hivyo wafanye kazi kwa bidii na Rais atakiwe kuomba msamaha kwa serikali kuchelewesha barabara muhimu kama hiyo
Ni haki yetu wananchi wa Rombo kuwa na barabara na ni wajibu wa derikali kujenga barabara as long as wanakusanya kodi.Tena Rais ameonyesha dharau kwa kutoonyesha hata courtesy ya kuomba msamaha kwa kutucheleweshea barabara kama vile sisi ni raia wa Kenya.
Huyu Selasini ni sawa tu na Masumbuko Lamwai matapeli zandiki ndumilakuwili.
huyo kawaida yake ndumilakuwili huyo,Ndio kazi ya upinzani, barabara kujengwa ni jukumu la serikali, ikijenga kwa nini isifiwe. Isipojenga lazima ikumbushwe, huyu Selasini nae sijui kimemkuta nini leo.
Ni kweli gaidi Mingoi vipi! Ijumaa mtakuwa mnachoma wapi?
Ninakubaliana na wewe kwa 800% kama si Dr Slaa kumsifia JK kwenye msiba wa Regia Mtema chai ya jioni na kachori ikulu asingeipata milele.