Ubungo: Wanajeshi wampa kisago traffic police...!

Kwa uelewa wako mdogo mpaka tunakwenda kaburini polisi wote duniani hawataweza kushindana na WANAJESHI

Issue hapa si "kama polisi wote duniani wanaweza au hawawezi kushindana na wanajeshi". Suala la lililopo mezani ni aibu ya JWTZ kumpiga askari wa trafiki akiwa kazini anaongoza magari. Hoja yangu ni kwamba haikuwa sawa kwa akari hao wa JWTZ kufanya walichokifanya kwa sababu sababu jam inasababishwa na vitu vingi kuliko wewe unavyoweza kufikiri.

Hebu jaribu kujenga hoja kwa kushirikisha ubongo ktk kufikiri na sio kutumia hiyo naniii unayotumia kukalia.
 
Yes hii ndio inatakiwa, hapa bongo sasa hivi kila ana sharubu umefika wakati tuishi kama viboko, ziwani dume moja wengine majike
 
Issue hapa si "kama polisi wote duniani wanaweza au hawawezi kushindana na wanajeshi". Suala la lililopo mezani ni aibu ya JWTZ kumpiga askari wa trafiki akiwa kazini anaongoza magari. Hoja yangu ni kwamba haikuwa sawa kwa akari hao wa JWTZ kufanya walichokifanya kwa sababu sababu jam inasababishwa na vitu vingi kuliko wewe unavyoweza kufikiri.

Hebu jaribu kujenga hoja kwa kushirikisha ubongo ktk kufikiri na sio kutumia hiyo naniii unayotumia kukalia.

Najua aliyepigwa ni shemeji yako, kwakuwa hujuwi udhaifu wa polisi endelea kuandika madudu yako na kwa taarifa yako jambo hilo haliendi popote na hiyo ndiyo imetoka. Kama siyo sahihi unataka wanajeshi nao wapigwe au wafukuzwe kazi kwa kumuadhibu njinga mmoja? wale jamaa hawabahatishi kama unavyofikiri wewe kwa kutumia masaburi wanauhakika kwa kila hatua wanayochukua kalaghabaho na ubishi wako
 
jeshi la polisi wamepigwa na wanajeshi maeneo ya ubungo mataa kuna hali ya hatari hapa wananchi wamejaa sana

Punguza chumvi wewe Police traffic mmoja hawezi pigwa na wanajeshi 50 akabaki mzima, ni kweli amepigwa ila siyo na wanajeshi 50 rekebisha taarifa yako
 
Hivi wanajeshi na polisi hawana mawasiliano kuambizana kwamba tuna msafara fulani, wenye unyeti fulani utakuwa mahala fulani saa fulani ili kuondoa uwezekano wa habari kama hizi?

Mi nafikiria tu wanajeshi wakiwa wanasafirisha silaha, kuna uwezekano wa upuuzi kama huu kutokea?
 
wamefaidika na nini? bona wenzao sasa wanateseka kwenye sero ya polisi-watalijua jiji -ubinadammu upo pale pale -uwe mwanjeshi wau mvuta mkokoteni-utii wa sheria na kanuni ni kwa wote. Mbona walitaka kuwapiga waandamaji wa kiislamu walidhani sheria hazipo-kuna siku watapiga halafu mambo yatawageuka baadhi yao
 
wanatumia tu mtulinga si busara -vinginevyo wangewataarifu kuwa kuna masafra wa jeshi -walitaka trafic aote eti
 
Matrafiki wana jeuri sana na vipesa wanavyopata na wanafikiri wakati fulani wako juu ya kila kitu wanakera sana kuna wale wanaosimama mbele ya kituo cha Kikatiti kuelekea Arusha asubuhi, mashetani yakiwapanda wanazuia gari za abiria toka moshi kwa muda wa nusu saa nzima sasa sie wakazi wa moshi tunaamka saa kumi alfajiri alafu mjinga mmoja bila sababu anawachelewesha nusu saa nzima nafikiri anastahili kichapo, leo gari limepita pale mbele yao abiria wamesimama mpaka wananing'inia, wamelambishwa wameachia gari, hawa jamaa sio professional kabisa hawa!
 
vzur sana jwtz,trafc wataazbia na nan kw wanayo 2fanyia?kama wakpelekw mahakan wanaserv ,Kam wacpo pgwa hadharan na kudhalilshw kamwe hawata acha kuchkuw rush na kuw wazmbe ktk majukum yao jwtz asanten san kw mlvyo mshksha adabu,lkn na nyie wajesh mtumie busar san ktk matkio kam hay,punguzen hacra.
 
Back
Top Bottom