Huo ni wajibu wake na ni lazima atekeleze kwa kuwa anakusanya kodi.Kama si ufisadi barabara hii ilitakiwa ikamilike muda mrefu.
.......
Hivi wewe ulipokuwa unafaulu Darasani mbona Wazazi wako hawakuita kukupongeza kwa sababu eti ni wajibu wako kusoma na kufaulu?
Hizi ni akili za kitoto tu unastahili kusamehewa kwa vile hujui hata usemalo.