This is very new FACEBOOT.com | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

This is very new FACEBOOT.com

Discussion in 'Jamii Photos' started by Bujibuji, Oct 31, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Polisi wa kitanzania akiperuzi mtandao wa FACEBOOT.com

  faceboot.jpg
   
 2. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,748
  Trophy Points: 280
  Vijana wa IGP Mwema kazini, wamepitia miezi sita CCP Moshi
   
 3. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huyo kibaka alikamatwa pale azikiwe karibu na benki moja hivi. Nakumbuka alikula kichapo cha haja. Yapata kama miezi minne au mitano hivi imepita.
   
 4. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huyu askari anafanya kazi yake kulingana na mujibu wa sheria? kuna haja ya Tanzania kuwa na sheria za nchi?
   
 5. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ccp mbwa koko wa kumwaga
   
 6. k

  kwani nini bana Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Weledi uko api hapo? Hivi kwanini huyu ndugu polisi amuadhibu mtuhumiwa badala ya kumkamata, kukusanya ushahidi dhidi yake, kumpeleka mahakamani na akamtolee ushahidi madhubuti ili haki itendeke?

  Hata katika ushikaji wa chombo cha kurusha vitu vizito hakuna weledi kwani yale yale ya Mwangosi (RIP brother) Je kama kitu kizito chenye ncha kali kingechomoka kwa bahati mbaya ingekuwaje?

  Mbaya zaidi wananchi wanapita kando na kuangalia kana kwamba kinachofanyika ni sahihi au hakiwahusu. Utaona na watoto wetu wako kando wamesimama na wajifunza tabia mbaya hapo.

  Hakika sina nia ya kumtetea huyo mtuhumiwa ila utaratibu si upo? basi na ufuatwe. Kila mtu atimize wajibu wake.

  Tuheshimiane jamani

  View attachment 69898 [/QUOTE]
   
 7. M

  MINJA MAN Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 31, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ama kweli hii ni,face boot!duh
   
 8. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Duh! Mshkaji saivi sijui yuko wapi. Na si ajabu alikwiba ndege aina ya kuku. Ningefurahi kama wale waliowekeza uswisi wapewe kitu cha facebuti.
   
 9. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Chakula cha uamsho
   
Loading...