Wasalamu..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasalamu.....

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Priva mella, Oct 31, 2012.

 1. P

  Priva mella Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 31, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu nawasalimia katika jina la bwana kwa wale ndugu zangu wakristo,Asalaam alaykum ndugu zangu waislamu nimara yangu yakwanza kuingia humu nimeamua kutumia salamu zote hizo kwa lengu lakuleta usawa kwenye dini zote msije kuniita mbaguzi wadini kama vuguvugu la udini linavyotaka kusambaa taratibu kwenye udongo wa Nyerere
   
 2. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,074
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Enhe, ulitaka kusemaje? yaani wewe unaingia leo chumbani na kuanza na Waislamu!
   
 3. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,288
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Anzia Chit Chat kwanza humu umepotea njia
   
 4. bysange

  bysange JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Enhee,wasio kuwa waislamu ama wakristo mbona umewabagua nawenyewe wamo ktk hii ardhi ya jk 1,km vile wahindi,wapagani na wengineo?
   
 5. y

  yaya JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, ulitaka kusema nini hasa?
  Au ulitaka tuijadili hii salamu? Mbona inajulikana sana.
  Hapa JF huwa zinajadiliwa hoja, na si sehemu ya kutumiana salamu.
   
 6. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 4,962
  Likes Received: 850
  Trophy Points: 280
  Hatujakuelewa ulikuwa unamaanisha au ulikuwa ukitaka nini?
   
 7. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,563
  Likes Received: 9,313
  Trophy Points: 280
  siye waabudu watu na pesa mbona umetubagua??
   
 8. k

  kwani nini bana Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni ID yako ya ngapi? Lengo lako litajulikana muda si mrefu, maana haya ni maandalizi. Tunasubiri post yako inayofuata.
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Nov 1, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,490
  Likes Received: 3,363
  Trophy Points: 280
  Mgeni umetokea wapi? Karibu ndani.
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,045
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Karibu sana JF.
   
Loading...