Recent content by Kupenda kujua

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za nyumba ya vyumba viwili

    Choo waweza chimbia pipa 2 hivi, na ukakaanacho hata miaka miwili.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Lectures: Jifunze English katika Thread hii Bure kabisa

    Shule haina mwisho.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Inawezekana kuzaa nje ya ndoa, inaweza kuwa dhambi lkn sio wa kwanza, na ukarekebisha. Unaweza kuachwa, kuacha kwa ajili ya Amani ya roho, usalama n.k. Unaweza ukawa single kwa kufiwa. Yote hayo Mimi sioni kama ni shida, kwakuwa naamini sio mapenzi ya single kuwa single.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hii mikasa inanipata mimi pekee?

    Kuna msemo unasema usilalamuke kwakuwa umeinguzwa shimo! Mradi uhai, unamikono, macho, akili, vyeti. Pambana mwanangu, piga moyo konde tafuta vyako, huo unyonge unauonyesha ndiyo ushindi wa huyo ndugu yako. Tafuta kazi pengine huku unafanya jitihada za kudai haki yako.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sally/Sarah Mugabe, mke wa kwanza wa Robert Mugabe

    Asante narrator. Tunajua zaidi.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Digrii uhazili, kumbukumbu zaanzishwa chuo Magogoni

    Hongera kwa hatua hiyo. Ili wakati wanaanzisha Diploma ilikuwa ya miezi 18 nasio miezi 24. Pia kuna waliosoma certicates walikuwa na qualications za mfano kwenye Shorthand, Hatimkato walikuwa speed ya 100 na zaidi, typing stg III walikuwa na 50words and above, hivyo waliruhusiwa wasisome...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu kuhusu mtihani wa R.P.L wa NACTE naomba anielekeze

    Unatolewa angalia web ya TCU.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Single mothers wanavyokera na picha za watoto wao mitandaoni

    Kwani kuwa single mother ni dhambi? Sababu za kuwa single parent/ mother ni zipi?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusoma open university... Utaratibu ukoje?

    Nenda Mtwara Open university, kama GPA 3.0 and above unaweza kusoma, kama haijafika Basi kuna mtihani wa RPL ambao bado utaratibu ila unafanyiwa kazi ila wenye vigezo vidogo waingie, au naweza sema kwa mtihani wa RPL hata std 7 anaweza soma digrii.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusoma open university... Utaratibu ukoje?

    Nitafute nikupe maelezo.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kujiunga Open University of Tanzania, naomba ushauri

    Kama alivyosema mwana jf OUT hakuna certificate, apply course za certificate NACTE, usome ziko nyingi, ukimaliza hadi Diploma ndiyo omba OUT, maana hata Diploma hawana course nyingi. Au njoo inbox.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Serikali

    Wana jamii, naomba kufahamu kwa anayejua. Enzi za uhai wa Baba wa Taifa, tulikuwa tukimaliza kidato cha nne , tunajaza fomu kwa ajili ya kuchagua A level na Vyuo mbalimbali. Je kwa sasa mwanafunzi akichaguliwa kwenda Chuo inakuwaje ? Na je kuhusu kuomba kusoma kupitia NACTE inakuwaje? Asante.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Wana Jamii, naomba kujua hivi ni kweli mtoto akimaliza f4 na akapata 5D's and above ni kweli anaruhusiwa kwenda Diploma? Kwa udahili wa NACTE au upi?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Vyuo visiachiwe kudahili vyenyewe

    Waheshimiwa naomba msaada wenu, yaani mambo yanachanganya sana, sikumbuki kama nilisikia au nilisoma sehemu kuwa:- 1.Ili mtu aende A level lazima awe na Div one na two!? 2.Na huku kurudia mitihani/mtihani, na labda ukafanikiwa na mingine ukakosa je inakuwaje? Labda unatafuta C moja kwa kuwa...
Back
Top Bottom