Nataka kujiunga Open University of Tanzania, naomba ushauri

MWAKATA KWETU

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
562
319
Jamani naomba msaada mnieleweshe,nataka kujiunga na chuo kikuu Huria Tanzania kwa Ngazi ya cheti katika fani ya human resource Management.....
Nilipata alama zifatazo;

1-Civics C
2-History F....niliristi nikapata C,sijui inahesabika?
3-Geography-D
4-Kiswahili-D
5-English-D
6-Biology-F
7-Basic Mathematics-F

Naombeni mnisaidie kunielewesha.
 
download prospectus yao au tembelea ofisi ya mkoa ulipo kwa ufafanuzi zaidi
 
Panda magari ( daladala au mwendokasi) zinazoenda morroco then ulizia open universty utaelekezwa
 
Kinondoni Biafra Mbele ya manyanya kama unatoka kariakoo karibu kabisa na Airtel makao makuu
 
Jamani naomba msaada mnieleweshe,nataka kujiunga na chuo kikuu Huria Tanzania kwa Ngazi ya cheti katika fani ya human resource Management.....
Nilipata alama zifatazo;

1-Civics C
2-History F....niliristi nikapata C,sijui inahesabika?
3-Geography-D
4-Kiswahili-D
5-English-D
6-Biology-F
7-Basic Mathematics-F

Naombeni mnisaidie kunielewesha.
Oooooh sorry, ajira hakuna
 
Mkuu usiwe na wasiwasi. Unamzidi Bashite kwa mbali sana. We kasome na baada ya hiyo certificate, nenda diploma then bachelor, masters na hata PhD ukipenda. Mungu Akubariki mkuu.
 
Jamani naomba msaada mnieleweshe,nataka kujiunga na chuo kikuu Huria Tanzania kwa Ngazi ya cheti katika fani ya human resource Management.....
Nilipata alama zifatazo;

1-Civics C
2-History F....niliristi nikapata C,sijui inahesabika?
3-Geography-D
4-Kiswahili-D
5-English-D
6-Biology-F
7-Basic Mathematics-F

Naombeni mnisaidie kunielewesha.
Kwa kinacho kifahamu ni kwamba Open University hawana progamme za certificate,coz walikua na foundation course nayo Mheshimiwa sana Prof Ndalichako alizipiga chini....so, course zao zinaanzia ngazi ya diploma kwa distance learning,unless labda kama unataka teacher interactivity course ambapo utasoma Certificate in ICT..
 
ushauri

kama unataka ufaulu open university unatakiwa usome msuli yatima. uache masihara msuli wa open unahitaji heshima kama baba mkwe.

nimemaliza
 
Jamani naomba msaada mnieleweshe,nataka kujiunga na chuo kikuu Huria Tanzania kwa Ngazi ya cheti katika fani ya human resource Management.....
Nilipata alama zifatazo;

1-Civics C
2-History F....niliristi nikapata C,sijui inahesabika?
3-Geography-D
4-Kiswahili-D
5-English-D
6-Biology-F
7-Basic Mathematics-F

Naombeni mnisaidie kunielewesha.
Kama alivyosema mwana jf OUT hakuna certificate, apply course za certificate NACTE, usome ziko nyingi, ukimaliza hadi Diploma ndiyo omba OUT, maana hata Diploma hawana course nyingi. Au njoo inbox.
 
Safi,,naongezea kwa kutoa ushauri,,ukiwa unasoma chuo,,jitahidi juu chini na kadili ya uwezo wako urudie somo la B/Mathematics,,,itakusaidia kwa baadae.
 
Back
Top Bottom