Nina c tatu hkl nitaweza kwenda chuo gani
EGM nayo siyo mbaya coz Economics ataikuta huko na hesabu sina shaka nae anaziweza...so kozi yoyote inayorelate hapo anaweza akafanya...anyway kila heri, selection nadhani zitatoka mwezi wa 3 mwishoni au 4
Hatochaguliw serikalini jiandae kumpeleka shule binafsimkuu sizinga! masomo ya sayansi wanachukua total point ngapi?
kuna mdogo wangu kapata div. 3 point 24 na ana B/maths C, Biology C, Civics C, Kiswahili C na the rest ana D
mfano PCM ana DDC, PCB ana DDC, EGM ana DC na PGM ana DDC
mshahara wenyewe wakulenga na manati huu, nijue kabisa kama anaenda private nianze michakato ya kukaba wabunge wakikatiza anga zangu.
Huyu anaweza kujiunga na Certificate moja kwa moja. Karibu Institute of Procurement and Supply aje kusoma. Unaweza kupiga hii number 0718476238 kwa maelekezo. Zaidi. AhsanteWana Jamii, naomba kujua hivi ni kweli mtoto akimaliza f4 na akapata 5D's and above ni kweli anaruhusiwa kwenda Diploma?
Kwa udahili wa NACTE au upi?
Mkuu qualification zao wewe ni kusoma certificate unless kama mbali ya hizo D5 uliwahi kusoma kozi yoyote ya certificate kwa muda usiopungua miezi 9 ndo utakuwa na sifa ya kusoma DiplomaKaka mm nina D 5 Nimeomba kujiunga na Diploma katka chuo cha IFM na Mpka sasa naona kimya hvi kweli kwa jinsi ya matokeo yangu naweza kuchaguliwa. Na je vp kuhusu jina langu nitaliakikisha vp kama nimechaguliwa na majina yashatka MSAADA PLEASE
Mda wa kuomba ndio unaishia. Unatakiwa kuomba chuoni moja kwa moja. Karibu IPS Chanika tukusaidie kufanya aoplication . piga number hii 0718476238Asante Nashukulu kwa msaada wako ila m n mgeni na cjajua utalatibu wa mtu ukiomba nafasi inakuwaje kuhusu majibu ya maombi n chuo unaenda kuhuliza au kwenye tovuti