Kupenda kujua
Member
- Nov 30, 2016
- 18
- 9
Wana jamii, naomba kufahamu kwa anayejua. Enzi za uhai wa Baba wa Taifa, tulikuwa tukimaliza kidato cha nne , tunajaza fomu kwa ajili ya kuchagua A level na Vyuo mbalimbali.
Je kwa sasa mwanafunzi akichaguliwa kwenda Chuo inakuwaje ? Na je kuhusu kuomba kusoma kupitia NACTE inakuwaje?
Asante.
Je kwa sasa mwanafunzi akichaguliwa kwenda Chuo inakuwaje ? Na je kuhusu kuomba kusoma kupitia NACTE inakuwaje?
Asante.