Recent content by kulwa sholoma

  1. K

    Wanaume mkitaka niwapende naombeni mnisaidie hili

    Kama wanasema hawamjui baba na mama yao alikuwa anapata wapi huo ujauzito? Wanaume wanahusikaje hapa kama mwanamke unakosa akili ya kuifikiria kesho yako? Mtoto mkubwa ana miaka 17, miaka yote hiyo anamuonaga mama ake mjamzito tuu oasipokujua anautoa wapi mpaka anafikisha wadogo zake wote hao...
  2. K

    Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    Cha msingi hapo kijana hakikisha semister ijayo hufeli hata somo moja na usome kwa bidii ili ufaulu
  3. K

    Wanaume mna nini na simu zenu?

    Kwann hukuomba kistaarabu ukataka mwenyewe ujichukulie pasipo ridhaa yake
  4. K

    Kosa la kwanza kwa Gwajima na Manji ni kwenda polisi kabla ya wakati

    Msidhani makonda kakurupuka, anachokifanya hakijawahi kufanywa na mtu before japo viongozi tunao na wengine wamekuwa wabunge na viongozi wa serikali kwa muda mrefu. Ukiangalia kwa fikra ya haraka utaona kuwa makonda kakurupuka lakin hajakurupuka kabisa na hana lengo la kuwakamata bali lengo lake...
  5. K

    Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    Ukiwa huna ndugu yako úwa ambaye anateseka na haya madawa ya kulevya lazima uone kuna uonevu kwa wanaotajwa kuhusika,ila cku yakimpata mwanao au mtu wako wa karibu ndio utaona umhim wa kuanzishwa kwa vita hii....
  6. K

    Ina maana Mpaka leo wanasayansi wameshindwa?

    Hahahahaaaa, maswali mengine
  7. K

    Jicho la ndani: Sababu za kitaalamu za kushindwa kwa CHADEMA na UKAWA katika uchaguzi mdogo

    Akifanya hivo watu watafanya kazi saa ngapi na maendeleo yatakujaje kama kila saa mikutano ya kisiasa?
  8. K

    Zitto Kabwe: Nitajiuzulu Ubunge kama Serikali itanionyesha tani milioni 1.5 za Mahindi

    Ule mawe kwani hujalima,? Hukujua kutakuwa na njaa wakat kila siku mamlaka ya hali ya hewa wanatangaza toka september mwaka jana kuwa mwakaa huu mvua itakuwa ya shida? Tatizo taarifa mhimu hatuzitilii maanani badala ya tunakuwa serious na mambo mengine yasiyo ya msingi
  9. K

    Msaada wa kimawazo

    Ni ngumu sana kijana labda uende vyuo vya uchochoro kama utakuwa na hela ya kutosha
  10. K

    Tuache kupandikiza Ukanda, Ukabila na Udini

    Kwani chato kuna wasukuma tu hakuna makabila mengine? Kwann ulalamikie hilii wakati aliyeamua hajatoa sababu za yeye kujenga chato uwanja wa ndege? Mengine tunaumizana vichwa tu bure....
  11. K

    Siri ya utajiri wa Majizzo

    Watatoka kwenye kuuza unga wataanza kusema yuko freemason. Akili zao zinaishia hapo
  12. K

    Siri ya utajiri wa Majizzo

    Acheni magufuli aendelee kutunyosha, hata mnaolilia ajira acheni ziendelee kukosekana kama kazi zenu ni kuwaza utajiri wa fulani ni wa namna fulani na si halali, miaka kumi inatosha kabisa kwa mtu mwenye malengo kuinvest na kuja na kitu kipya na kikubwa nchini na hata duniani. Vijana hatuna...
  13. K

    Ni aibu kusema Tanzania kuna njaa

    Ivi mnaosema ukame wa mwaka huu ndio umeleta njaa ina maana mwaka jana watu hawakupata chakula? Na kama mvua ingewahi kunyesha toka mwez wa kumi na moja ina maana mahind,viaz au maharage vingekuwa vimeshaiva mwez huu wa kwanza? Chakula cha mwaka jana chote walichovuna kiliishia wapi kwa wakulima...
Back
Top Bottom