Wanaume mna nini na simu zenu?

Wanaume mna nini na simu zenu?

Alikuwa anataka akusaidie kutoa password..!

Leo alitaka kuondoka na mkono, kesho ataondoka na kichwa.
Simu ya mwanaume ione kama mkwe wako.
Sawa nakukubalia.... Ila ndo mnatufundisha nini kwenye ilo. Mnajiona mabingwa lakin kwa tarifa yenu tutaacha kuzishika yes ila mnajua moyoni mwetu mtakua mmeotesha mbegu gani???? Jaribuni kufanya vitendo vyenye rutuba kwenye mausiano sio kujisifia upuuzi. Eti sim ione kama mkwe wko, so what!!! Fyuuuuuuuu
 
Uaminifu unapimwa seem nyingi.... Na simu yako imebeba asilimia kubwa. Tusidanganyane
Hiv hamjiuliz kwann kila siku jinsia yenu ndio inahangaika kutaka kupekua simu ya mwanaume? Wanaume wachache sana ndio wanapekua simu za wenza wao, Hamjion kama nyie mna matatzo?
Huwez kuwaza kama simu ni tatzo kama wewe mwenyewe hufanyii mambo yako ya upuuzi kwenye simu so unahis na mwenzio nae anafanya hvyo hvyo.
Simu yangu ni mali yangu na ni maamuz yangu kukupa au nisikupe biashara ya kusema simu ni yetu wote mbaki nayo wenyewe.
 
Si kweli unachosema... Nyie wanaume ndio simu zetu mnataka kuzifanya zenu. Ukiitaji tu upewe na ukae nayo had uridhike, ila nyie hata pale tunapoomba kwa dharura tu labda natka nipige simu saiv kunipa ni mtihani, au kuna kitu mwanaume anakuonyesha ktk cm anahakikidha kaishikilia yeye. Hatusemi tuzichukue mda wote kakin oia isiwe ndio marufuku kias icho hata kwenye dharura, ndio unamuachia mtu maswali kwa nini had kumpigia tu mtu simu mara moja mtu anaruka na simu kuleee... Yuko radh akufatie vocha ila si kukupa upige.
 
Msimamo ni kwamba simu yangu mali yangu ntakupa kwa ruhusa yangu.
Kama ni dharula omba simu kistaarabu utapewa sio kuchukua utasema ya kwako tu.
Mara nying mkipewa simu ndio mnapoanza kufanya upekuzi na kuacha kufanya mlichokifata
Tukiheshimiana kwenye namna ya kuomba mali yangu halali hakuna atakaekunyima simu,
Mbona ukiwa na shida ya pesa hurukii kwenye wallet na kuchukua unakuja unaomba unapewa bas na kwenye simu uwe na heshima hyo hyo.
 
Aya bonny nadhani kwa seem kubwa tumekubaliana... And to be honest siipend simu ya mwanaume maan kama ntakuta chochote iwe kwel iwe utan ntaishia kulia tu then bas. Nimeamua kumwamin thats all. As long as anawajibika kama baba/mume thats enough to me.
 
Habari za leo wanajamvi,

Jamani leo nimestaajabu. Nikiwa nimetolewa dinner na shemeji yenu mtarajiwa huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale nikapata simu ya msiba sasa kwa kuwa sina salio la kutosha nikasema nichukue simu ya shem wenu ili nipate kujua zaidi juu ya msiba.

Lakini mwenzenu ile nimeshika simu tuu nikashangaa ghafla nimevutwa mkono yani mkono umenyongorotwa kidogo nitoe damu. Ile nataka kukimbia nayo nikavutwa mpaka mkono kidogo nivunjike. Hivi jamani wanaume mna nini ni vitu gani au siri zipi ambazo hampendi zijulikane.

Naombeni kujuzwa
Mi naona mnazunguuuka akati shortcut zipo...full michepuko hapo..hiyo ni stress ndan ya nyumba kwa huyo dada...unless ajipange kumrekebisha..tuna mapunguf yetu ila nowdays balaa.
 
Aya bonny nadhani kwa seem kubwa tumekubaliana... And to be honest siipend simu ya mwanaume maan kama ntakuta chochote iwe kwel iwe utan ntaishia kulia tu then bas. Nimeamua kumwamin thats all. As long as anawajibika kama baba/mume thats enough to me.
hayo ndio maneno mama la msing ndio hlo wenza wanaheshimiana kwenye mawasiliano wanadumu sana
na nakuhakikishia kwa principal hyo utadumu milele
Happy valentines day
 
Ukimbie nayo simu ni yako? Next time mwambie naomba kutumia simu yako mpe namba apige mwenyewe akupe. Au muombe akununulie vocha!
 
Hawajui tu... Wanaishia kujiona mabingwa, k wa kua akishakunyang'anya humpig na hutamfanya kitu, tunanyamazaga tu ila yanayobaki moyoni ndio mwisho mnaishia kusema wanawake nyoka, wakati sumu mmezitengeneza nyie taratibu.
Kabisa! Huwa tunapata shida mwanzoni ila tunapoizewea hiyo hali mashaka yanakuwa kwao.
 
Sawa nakukubalia.... Ila ndo mnatufundisha nini kwenye ilo. Mnajiona mabingwa lakin kwa tarifa yenu tutaacha kuzishika yes ila mnajua moyoni mwetu mtakua mmeotesha mbegu gani???? Jaribuni kufanya vitendo vyenye rutuba kwenye mausiano sio kujisifia upuuzi. Eti sim ione kama mkwe wko, so what!!! Fyuuuuuuuu
Ni wepesi wa kuzungumza pasi kujua madhara yake na hiyo ndio sababu na huwa hawafikirii kwa undani kitakachofuata.

Kwa hisia zao wanajua mioyo yetu haina nyama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom