STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Inasemekana kwamba asilimia kubwa ya mwili wa binadamu ni maji,
na hata hii damu tunayoiona basi inamchanganyiko wa maji kwa kiasi kikubwa na damu kwa kiwango kidogo (kwa waliosoma sayansi watakuwa wamenielewa).
Mfano: Hata lile dripu la damu analotundikiwa mgonjwa hospitalini linakuwa na kiasi kikubwa cha maji kuliko damu yenyewe.
TWENDE KWENYE SWALI
Inamaana wanasayansi wameshindwa kuvumbua/ kugundua njia za kumuongezea binadamu Damu pasipo kumchanganyia na maji??
Yani wameshindwa kabisa kuichuja damu kwa kuitenganisha na maji pale wanapomtoa mtu damu ili kumuepushia mchangiaji damu upungufu wa maji mwilini?
Na wameshindwa kumuwekea mtu damu pasipo kumuongezea na maji??